Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?

Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?

Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?
hapo kwenye red ni serious allegation mzee, una maana gani? jaribu kudadavua ni nani mbakaji wa watoto wadogo manake sijakuelewa, au ni ushabiki tu wa vyama?
 
hahaaa CCM bana wananifurahisha sana..haya bana na roho zenu kwatuu
 
Rutakyamirwa kuhusu chanzo jifunze kwa Mzee Mandela aliposakamwa na wapinzani wake kuhusu tabia yake ya kuangalia Katuni za Tom&Jerry, jibu la Madiba lilikuwa rahisi. "wanaotengeneza katuni wana akili sana". Chanzo cha habari hii ni kutoka kwa Mmoja wa watu maarufu (Salama Jabir) akimhoji mtu maarufu mwingine (John Komba).
 
Last edited by a moderator:
Ben we ni mtu una sura nyingi sana,yaani kila anayetoa mtizamo wake ana njaa na amehongwa,inawezekana huna kazi inayokuingizia kipato kinachoeleweka na uwezo wa elimu uliyo nayo unanitia mashaka,kila kitu kwako we ni negative,hata mti wa muashoki upepo unapovuma una bend in either side,manake a wise man should always be flexible siyo kila kitu ubishi,usione kila aliye against you ana njaa ya kuhongwa,na wewe utuambie mda wote unaokuwa jf unafanya kazi saa ngapi ya kukuingizia kipato? Na wasiwasi siku jf wakipigwa ban wewe ni kati ya watu watakaoishi kwa shida sana

Nonesense.Sifuati mkumbo.Wewe muda wote uko JF unafanya kazi saa ngapi unaponifuatilia muda wote?

JF Ikifungwa nitaandika kwenye magazeti na kwenye interbational Journals.Wewe sijui utafanyaje

Usisahau Kusoma makala yangu leo kwenye gazeti la SURA YA MTANZANIA na The Guardian,Daily Nation ya Kenya Jimapili ijayo kuhusu Miaka 68 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa na Reform zinazotakiwa.
 
hapo kwenye red ni serious allegation mzee, una maana gani? jaribu kudadavua ni nani mbakaji wa watoto wadogo manake sijakuelewa, au ni ushabiki tu wa vyama?

Kuna mtu anajadili sura za watu kwenye urais badala ya kujielekeza kujibu tuhuma za ufataki za kuwa na mahusiano na binti mdogo tena under 18
 
mkuu kwanza labda nikuambie tu ukubali ukatae,watu wakigoma na wtz wanatambuw ww ndo adui namba moja wa zitto zuberi,hiz fitna zote za kuchafuliwa kwa zitto kwny mitandao yakijamii ww ben sa nane ndo unayeongoza kundi hilo na hili unalifnya kwa makusudi kabsa kwaajili ya kumridhisha mbowe na babu yenu huyo dr slaa.Na hili umelifnya makusudi baada ya lile jaribio la kumwekea sumu kwenye chakula kushindwa!na hata hapo sahv najuw sahv umejiandaa ni jinsi utahakikisha unamtenganisha mwigamba na roho yake,usifikir tz ni ile ya zaman,yote haya yako waz

Low IQ.......!
 
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.

CC Pasco

Huyu Bush Baby (Konba) amechaguliwa na kina Khadija Kopa wakachezeshwe viuno Bungeni na politicians bora wafunge midomo Yao na atulie alale ImageUploadedByJamiiForums1383024417.091262.jpg
 
Nonesense.Sifuati mkumbo.Wewe muda wote uko JF unafanya kazi saa ngapi unaponifuatilia muda wote?

JF Ikifungwa nitaandika kwenye magazeti na kwenye interbational Journals.Wewe sijui utafanyaje

Usisahau Kusoma makala yangu leo kwenye gazeti la SURA YA MTANZANIA na The Guardian,Daily Nation ya Kenya Jimapili ijayo kuhusu Miaka 68 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa na Reform zinazotakiwa.

Ben si kila mtu anaishi.kwa.kubahatisha.kama wewe,shule gani umesoma ambayo sisi hatujasoma ? Usione kila mtu mwenye msimamo tofauti na wewe ukadhani anaishi kwa kubahatisha,eti unaandika makala ndo.njia ya kukuingizia kipato? Shame on you kila.mtu anaweza kuandika makala as long as you have been to skul,waandishi wangapi wana elimu ya kawaida tu na wanandika makala nzuri,ur exceptional to wht field and to.wht.extent? Ni nini kinakupa kibur kutukana kila mtu?
 
Nonesense.Sifuati mkumbo.Wewe muda wote uko JF unafanya kazi saa ngapi unaponifuatilia muda wote?

JF Ikifungwa nitaandika kwenye magazeti na kwenye interbational Journals.Wewe sijui utafanyaje

Usisahau Kusoma makala yangu leo kwenye gazeti la SURA YA MTANZANIA na The Guardian,Daily Nation ya Kenya Jimapili ijayo kuhusu Miaka 68 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa na Reform zinazotakiwa.

Kaka mbona umempa kazi nzito sana huyo hayo magazeti ataweza kuyasoma kweli. Au umesahau tafiti kwamba wanao muunga JK mkono niwale darasa la7 na ambao hawajui kusoma? Huyo kazoea udaku kama uhuru mzalendo.
 
Back
Top Bottom