Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,439
Hayo ni maoni yake, Capt John Komba. Hakuna sababu ya kumtukana na kumkashifu. Hata nyie mnaotoa maoni hapa mna usafi gani? Tuwe wastaarabu kidogo.
Nonesense.Sifuati mkumbo.Wewe muda wote uko JF unafanya kazi saa ngapi unaponifuatilia muda wote?
JF Ikifungwa nitaandika kwenye magazeti na kwenye interbational Journals.Wewe sijui utafanyaje
Usisahau Kusoma makala yangu leo kwenye gazeti la SURA YA MTANZANIA na The Guardian,Daily Nation ya Kenya Jimapili ijayo kuhusu Miaka 68 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa na Reform zinazotakiwa.
Kaka mbona umempa kazi nzito sana huyo hayo magazeti ataweza kuyasoma kweli. Au umesahau tafiti kwamba wanao muunga JK mkono niwale darasa la7 na ambao hawajui kusoma? Huyo kazoea udaku kama uhuru mzalendo.
Sa nane hapa ndo huwa nakudharau nandio mana kila ciku mi naww tunatofautiana&!!cijui ni ujinga unakusumbua,naaanza kupata wasiwas na uelew wako,sasa naamin umeletwa humu jamvin kupinga kila anaye toa mawazo yako,na jana nilikuambia humu jamvin ww nadhn hii ndo kaz yako maalumu uliyopew.hv kila anayetoa wazo lake ww nikulidharau tu ina maana wew kila unacho kiandka ndio kiko sahhi,usituonyeshe ulivyo mtupu kichwan,aliyosema komba ni mawazo yake,na unapaswa kuhesnimu mawazo yake na kama unambishia tumia hoja.mimi binafs naamin kuwa lowassa ndiye anahefaa kuwa rais wa nchi hii 2015 .jirekebishe kaka wakat mwingne bora hata utumie id kuchangia kwasabu unazidd kujiweka uchi tu
Ben si kila mtu anaishi.kwa.kubahatisha.kama wewe,shule gani umesoma ambayo sisi hatujasoma ? Usione kila mtu mwenye msimamo tofauti na wewe ukadhani anaishi kwa kubahatisha,eti unaandika makala ndo.njia ya kukuingizia kipato? Shame on you kila.mtu anaweza kuandika makala as long as you have been to skul,waandishi wangapi wana elimu ya kawaida tu na wanandika makala nzuri,ur exceptional to wht field and to.wht.extent? Ni nini kinakupa kibur kutukana kila mtu?
Kaka mbona umempa kazi nzito sana huyo hayo magazeti ataweza kuyasoma kweli. Au umesahau tafiti kwamba wanao muunga JK mkono niwale darasa la7 na ambao hawajui kusoma? Huyo kazoea udaku kama uhuru mzalendo.
Sijawahi kuona wala kusoma kitu cha maana ulichoandika. Zaidi ya kuchangia PUMBA na Mashudu ya akina Ben.
Then you call yourself Mt Kili... Low IQ.
Huyu Bush Baby (Konba) amechaguliwa na kina Khadija Kopa wakachezeshwe viuno Bungeni na politicians bora wafunge midomo Yao na atulie alale View attachment 118785
Thanks mkuu.Tutawaelimisha taratibu tu waache kusoma heading za magazeti ya udaku
Anyamaze alafu wewe mtu mzima uropoke au? Mafisiwadi bhana...
naona unatumia uzoefu ulio nao wa kuandka na kujijibu mwenyewe,poor saa nane!hizo id zote iko ciku utajikoroga tu
Inferiority complex ni mbaya.Kwa hiyo ID ya Kilimanjaro ni yangu?Maskini!
Na Wasira Boss. Du list muhimu kwa ccm hizisio Lowassa tu hata Majimarefu anafaa pia
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.
CC Pasco