Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?
Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?
Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?
sio Lowassa tu hata Majimarefu anafaa pia
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.
CC Pasco
kepten komba hivi anaongoza jimbo gani?
Ccm pale akili zao ni kama za Komba hakuna mwenye afadhali
Ni kama wewe vile njaa ya kuwa mwenyekiti pachikwa wa bar vichaa inavyokutesa?
vipi ule ugonjwa wakutetemeka amepona?
Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?
Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?
Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?
haaaa isipokuwa wewe mkuu m 23

Huyo Komba na yeye kashavuta pesa kutoka kwa Lowassa siyo bure..chezea lowassa waislamu wenyewe wanamtaja lowassa kwenye dua zao ama kweli pesa mwanaharamu
Hata yeye Komba anafaa.