bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Katiba gani hyo,JMT,Zbar,au ya CCM?
Utanisaidia na lbara kabisa ili nifanye marejeo!
Sijui ni ibara wala nini lakini nachojua ni kupokezana kwa zamu
Katiba gani hyo,JMT,Zbar,au ya CCM?
Utanisaidia na lbara kabisa ili nifanye marejeo!
Nimeamini wakati mwingine majina tunayojipa yanaleta tashwira halisi ya mtu mbun'go ?? Kweli wewe ni huyo mdudu. Hili jukwaa sio saizi yako kama uliyoandika hapa yanatoka kichwani.
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.
CC Pasco
Ha ha ha mie sio Chakazwa bali chakaza. Kamanda Chakaza, uliza hata wakati wa vita ya Kagera kamanda Chakaza alikuwa nani? Wewe mbun'go jitathimini kile uandikacho dogo sio kwa vile uko nyuma ya pc yako na watu hawakuoni basi unajiandikia hovyo. Basi jiangalie mwenyewe hata kwenye kioo halafu jiulize hivi mie ndio nimeandika haya?sawa mi nakubali mi mbun'go kwahyo nawew umesha chakazwa mpaka hata hauwez kukaa?manake naww jina lako ni chakazwa?emb tupe siri ya urembo,au ni mbowe ndo anakuchakazaga?