Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Kama JK ameweza kuwa raisi kwanini EL ama yy mwenyewe Kapteni ashindwe kuwa raisi !
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.
CC Pasco
Kwani katiba inasemaje vipi si zamu ya Zanzibar 2015Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.
CC Pasco
Kwani katiba inasemaje vipi si zamu ya Zanzibar 2015
Kwani katiba inasemaje vipi si zamu ya Zanzibar 2015
mbinga
Nimeamini wakati mwingine majina tunayojipa yanaleta tashwira halisi ya mtu mbun'go ?? Kweli wewe ni huyo mdudu. Hili jukwaa sio saizi yako kama uliyoandika hapa yanatoka kichwani.mkuu kwanza labda nikuambie tu ukubali ukatae,watu wakigoma na wtz wanatambuw ww ndo adui namba moja wa zitto zuberi,hiz fitna zote za kuchafuliwa kwa zitto kwny mitandao yakijamii ww ben sa nane ndo unayeongoza kundi hilo na hili unalifnya kwa makusudi kabsa kwaajili ya kumridhisha mbowe na babu yenu huyo dr slaa.Na hili umelifnya makusudi baada ya lile jaribio la kumwekea sumu kwenye chakula kushindwa!na hata hapo sahv najuw sahv umejiandaa ni jinsi utahakikisha unamtenganisha mwigamba na roho yake,usifikir tz ni ile ya zaman,yote haya yako waz
bola komba ila kama ningelikuwa natoka ktk haya mjimbo ningehama, mbeya mjini, iringa mjini, nyamagana mwanza kawe Arusha mjini na ubungo nahakika hawa wabunge wao ni viplate vibaya.Hivi jamani majimbo mengine hayanaga watu wakuchaguwa kuwa wabunge. Na watu wanao ishi kwenye majimbo hayo wanaupeo gani. Mimi kama ningetoka jimbo analowakilisha huyu mjinga ningelikana kabisa
hata kiplate akiposte naye anajiona anaweza tenda jambo ktk jamii! hebu jiangalie kwa mara nyingine kisha jitasmini mwenyewe kisha utajua utumbo ulio upost. limbukeni wa mitandao.Nimeamini wakati mwingine majina tunayojipa yanaleta tashwira halisi ya mtu mbun'go ?? Kweli wewe ni huyo mdudu. Hili jukwaa sio saizi yako kama uliyoandika hapa yanatoka kichwani.
hata kiplate akiposte naye anajiona anaweza tenda jambo ktk jamii! hebu jiangalie kwa mara nyingine kisha jitasmini mwenyewe kisha utajua utumbo ulio upost. limbukeni wa mitandao.
Na ameshatunga albamu ya kumsifia Lowasa, anasubiri kuizindua tu...........