DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,911
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]anazo nyingi sana sema tu hapendi show off
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]anazo nyingi sana sema tu hapendi show off
Hii dude ni konyo
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu umetisha nimecheka sana #kanyagaMkuu sina la ziada zaidi ya kusema shukrani sana
nyuzi zakiboya, kanyaga
comment za kiboya, kanyaga
Mods kanyaga, kanyaga bila woga.
Eti nimewahi siti, kanyaga
Eti ngoja waje, kanyaga
Eti uzi mrefu, kanyaga
Woiyo, woiyooo, woiyooo, kanyaga.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu umetisha nimecheka sana #kanyaga
leo kijana hajaimba matusi na mambo ya tigo. video nzuri inaubunifu. ila nasikitika utachuja muda mfupi sana.
Wanaotudangaya kuna treni ya umeme _ Kanyaga
Waliotudanganya kuna Tz ya viwanda _ kanyaga
Waliosema tutapewa Noah_kanyaga
Aliyetudanganya atatupa kilo mbili mbili za korosho_kanyaga
Aliyehusika kumshambulia Tindu Lissu _ kanyaga.