Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Simba ni kama maji usipomkoga utamtawazia 😝😝 rudi nyumbaniSikuona asante.
Simba ni kama maji usipomkoga utamtawazia 😝😝 rudi nyumbaniSikuona asante.
jamaa anajua aisee, sipatii picha hii nyimbo maeneo ya starehe na kwenye show inavyonoga.hili goma ni hatari japo haijafikia INAMA. Ila i gues atakua anatumia huu wimbo kuamsha mizuka ya watu kwenye shows zake
Mkuu ebu shusha hiyo mistari kwa maneno hapa, wengine pia tuweze kula kwa macho.Mashem fake kanyaga, mikosi kanyaga manuksi kanyaga kudadadek hahaha
[emoji115][emoji115][emoji115]Mkuu ebu shusha hiyo mistari kwa maneno hapa, wengine pia tuweze kula kwa macho.
hiyo line katishaa...kadi za harusi kuchanga changa, wakati mwenyewe nina majanga.
Huyu kijana angepewa Taifa Stars tungefika hata nusu fainali.
Au Wewe unaonaje ndugu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]