Kanyaga ya diamond

Kanyaga ya diamond

Mkuu sina la ziada zaidi ya kusema shukrani sana

nyuzi zakiboya, kanyaga
comment za kiboya, kanyaga

Mods kanyaga, kanyaga bila woga.
Eti nimewahi siti, kanyaga
Eti ngoja waje, kanyaga
Eti uzi mrefu, kanyaga

Woiyo, woiyooo, woiyooo, kanyaga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Teh hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wenye ID 2, kanyaga
Wanaokomenti pumba, kanyaga
Wanaotania, kanyaga
Wenye watoto wakorofi,kanyaga

Woiyooo woiyooo woiyoooo kanyagaa bila woga
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wenye ID 2, kanyaga
Wanaokomenti pumba, kanyaga
Wanaotania, kanyaga
Wenye watoto wakorofi,kanyaga

Woiyooo woiyooo woiyoooo kanyagaa bila woga
Hahaha [emoji28]

Physics , kanyaga
 
leo kijana hajaimba matusi na mambo ya tigo. video nzuri inaubunifu. ila nasikitika utachuja muda mfupi sana.
 
napenda jamaa anajiamini. yaani anatoa tu nyimbo mfululizo bila wasiwasi wowote.
Siku moja Kiba alihojiwa na kudai kutoa wimbo kila wakati ni kutojiamini! Nikajiuliza, huyu jamaa mbona anaongea kinyume chake! Inabidi uwe unajiamini kweli kweli mtu ndipo uweze kutoa ngoma mfululizo! Inama bado inafanya vizuri; mwingine angekuwa na hofu kutoa ngoma nyingine isingefanya vizuri kama Inama, lakini jamaa anatoa tu! It takes a gut aisee!
 
Domo anafata mfano wasanii wa nje Breezy , davido n.k wanatoaga nyimbo non stop bila wasiwasi.

Ukiwa msanii wa wasi wasi lazima uogope maana hata ulizonazo zinahiti kwa huruma ya mashabiki wako.[emoji3]
Siku moja Kiba alihojiwa na kudai kutoa wimbo kila wakati ni kutojiamini! Nikajiuliza, huyu jamaa mbona anaongea kinyume chake! Inabidi uwe unajiamini kweli kweli mtu ndipo uweze kutoa ngoma mfululizo! Inama bado inafanya vizuri; mwingine angekuwa na hofu kutoa ngoma nyingine isingefanya vizuri kama Inama, lakini jamaa anatoa tu! It takes a gut aisee!
 
hili goma ni hatari japo haijafikia INAMA. Ila i gues atakua anatumia huu wimbo kuamsha mizuka ya watu kwenye shows zake
Diamond ana tabia ya kuachia ngoma kwa kuangalia tastes tofauti tofauti! Hata mimi nakubali Inama ni bonge la ngoma, lakini Kanyaga ndio taste yangu! Mi mangoma kama Kanyaga, alivyotembea na Nyegezi, Katika, ile ya crew na Waafrica kibao, Love you Die (from Patroranking), hizi ndo taste zangu hasa! Kwahiyo ameamua kututendea haki! Na ni suala la muda, atashusha pure Bongo Flavor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom