Sure!Domo anafata mfano wasanii wa nje Breezy , davido n.k wanatoaga nyimbo non stop bila wasiwasi.
Ukiwa msanii wa wasi wasi lazima uogope maana hata ulizonazo zunahiti kwa huruma ya mashabiki wako.[emoji3]
Nimeikumbuka sana mwanza( nyegezi)
Ile ngoma ni kalii sana
mkuu jamaa hategemei kutoa nyimbo ikae mwaka ni mwendo wa kuweka kitu na kutoa kitu, so kama unadhani jamaa anasubiri mchujo sahauleo kijana hajaimba matusi na mambo ya tigo. video nzuri inaubunifu. ila nasikitika utachuja muda mfupi sana.
Shunie kanyaga...Team kiba kama nawaona watakavyoikandia
Hata Ali Kiba nyimbo anazo sema hapendi kujionesha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]napenda jamaa anajiamini. yaani anatoa tu nyimbo mfululizo bila wasiwasi wowote.
Zote hizo kanyaga[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]kadi za harusi kuchanga changa, wakati mwenyewe nina majanga.
Wanaotudangaya kuna treni ya umeme _ KanyagaWanaolilia kusafiri, kanyaga
Wakati hawana pesa, kanyaga
Mondi atulipia usihofu, kanyaga
Hujamuona mange na povu alilotoa
Now ina viewers 408k ndan ya saa 7
Nacheza kanyaga mmSisi tunasikiliza Rhumba.
Baby tucheze rhumba kidogo....
Baba P kanyagaShunie kanyaga...
Ngoma Kali Sana kiukwel diamond unatupa burudani tunayotaka nimependa Sana content ya wimbo.
Hata Ali Kiba nyimbo anazo sema hapendi kujionesha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Dini haimruhusu Kushindana....BREAKING: Soon Alikiba kuachia lisongi likali , kaen mkao wa kula ,.
In k2ga voice