Binti ufafanuzi namba 5
10. Usimwone ng'ombe anakunya huku anatembea, anajali "MUDA".
Afu my lav YNNAH baadae usiku ntakuonyesha maeneo mengine yanayoniwasha! Manaake hapa hukuyataja!
Sawasawa?
Yaani uchakachuaji wa siku hizi bana . . . .
Kila thread wapenzi lazima waanzishe vijimambo vyao na wao!!!
No wonder hata in really life mapenzi yamegeuka maigizo.
Jamani Ruttashobolwa hujaelewa nini hapo, yaani ukianza kuoga au ukishika maji
Achana naye mjane huyo ameshazoea kuachika..............
Aste'aste basi, shusha sauti, utawaamsha waliombonji ujue! Huoni unanikata shauzi mtu mzima? Chakachuzi lenyewe chaaache! Namie siku hizi nkishamuona huyu mtoto wa kitanga, mpapampapa unanishakaje! Utadhani mgambo kamuona afande!
Aaaah kwa heri bana hayo mambo yenu mwayajua wenyewe tu.
Ila punguzeni kwakweli, watu wa namna hii mmezidi!!