Hivi kwanini inakuwa hivyo ??

Hivi kwanini inakuwa hivyo ??

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,614
Haya yanatutokea kila Siku
1;Law of queue: ukibadilisha mstari kwenye Foleni, ulioucha unaenda mbio zaidi

2;Law of telephone: wrong namba daima inapatikana au haiko Busy

3;Law of mechanical repair: mikono yako inapokuwa michafu pua huwasha ili uikune

4; Law of alibi:ukimdanganya bosi wako kuwa umechelewa kwakuwa gari yako ilipata pancha kesho yake unapata pancha kweli

5; Bathroom theorem: ukishaanza tu kuoga simu inaita

6; Law of biomechanics: Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale usipofikia

7; Theatre rule: watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

Waweza ongezea ya kwako
 
Unapokua umesimama kwenye hadhira (Audience) ukisoma risala mbele ya mgeni rasmi , whereby mimacho ya kadamnasi lookin on you ! Sehemu kadhaa finyu au za pachipachi huwasha! Mf. Korodani , mferejini n.k
 
Swahiba Judgment hiyo ni balaa na mshedede unaweza shaangaa umesimama
Au umeitwa ghafla na boss wako wa kike Kumbe wakati huo huo ulikuwa unawaza zako starehe zako huko kitu kiko hewani huku umevaa mchomeko kuweka mikono mfukoni sio issue unajikuta umebeba file lisilohusika
 
Last edited by a moderator:

Qui qui qui... hahahaaaaa ni kweli kabisa
 
Swahiba Judgment hiyo ni balaa na mshedede unaweza shaangaa umesimama
Au umeitwa ghafla na boss wako wa kike Kumbe wakati huo huo ulikuwa unawaza zako starehe zako huko kitu kiko hewani huku umevaa mchomeko kuweka mikono mfukoni sio issue unajikuta umebeba file lisilohusika

Ni kweli Swahiba! Ama file liko mbali, wawezajipiga jacket ilhali weather hairuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Naomba nisiongeze chochote ktk hili maana mengine yanagusa maisha ya kila siku.
 
Halafu kama umesahau kuvaa pichu Siku hiyo sasa....!

Hata kama umevaa boxer zetu hizi nafasi ni kubwa tuu kuweza kuonekana unachofanya ni kugrab any available file kuficha uhalisia mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Hata kama umevaa boxer zetu hizi nafasi ni kubwa tuu kuweza kuonekana unachofanya ni kugrab any available file kuficha uhalisia mshana jr
Yeah boxer c nzuri sana natamani VIP zirudi sokoni, zilikuwa zinajua kubana mambo
 
Last edited by a moderator:
Wataka nambia bai ze taim twavaa viiaipii na James Bond 007 wewe mshana jr ulikuwepo? Na ukiujua umuhimu wa chupi ?
Kabisa Mkuu by then Nilikuwa sekondari, na hata zile nywele zenye jina bovu Nilikuwa tayari nshaanza kuzifanyia prooning
 
Last edited by a moderator:
ukiamua kugombea Ubunge basi unaupata Udiwani.
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom