Kanuni muhimu zaidi maishani

Kanuni muhimu zaidi maishani

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,706
Reaction score
974
1. Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.

2. Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)

3. Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune

4. Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli

5. Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita

6. Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

7. Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako imeharibika ukiwasha itafanya kazi

8. Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna

9. Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.

Ahsante YNNAH kwa kututafsiria,though uzi huo upo humu,"Laws" forgotten by Newton.
 
Last edited by a moderator:
Ukishikwa na haja kubwa pindi uwapo njiani usiombe ukaribie chooni maana yatakaribia kukutoka. Ukiwa na kunguni kwenye nguo yako hupenda kujitokeza pindi unapo kua kwenye mkusanyiko na watu kama mpenzi au marafiki
 
8. Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna

Katika zote hizo, mie nimeelewa hii tu na hapa nishaandika notsi kaunta zima.
 
1. Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.

2. Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)

3. Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune

4. Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli

5. Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita

6. Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

7. Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako imeharibika ukiwasha itafanya kazi

8. Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna

9. Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.

Kuna mahali panawasha ngoja nijikune na ukuta wa chuping.
 
ukimkataza mtoto kufanya jambo fulani ukiondoka tu anafanya
 
Afu my lav YNNAH baadae usiku ntakuonyesha maeneo mengine yanayoniwasha! Manaake hapa hukuyataja!
Sawasawa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom