Je kuna ukweli ukweli

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24
Je, kuna ukweli juu ya kanuni hizi?​
------------------------------------------------------------------​
LAW OF QUEUE:​
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha
unakwenda mbio zaidi.

-------------------------------------------------------------------

LAW OF TELEPHONE:​
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)

--------------------------------------------------------------------

LAW OF MECHANICAL REPAIR:​
Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza
kuwasha ili uikune

--------------------------------------------------------------------

LAW OF THE ALIBI:​
Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari
lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli

--------------------------------------------------------------------

BATH THEOREM:​
Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita

------------------------------------------------------------------

LAW OF ENCOUNTERS:​
Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa
na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

--------------------------------------------------------------------

LAW OF THE RESULT:​
Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako
imeharibika ukiwasha itafanya kazi

--------------------------------------------------------------------

LAW OF BIOMECHANICS:​
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna

--------------------------------------------------------------------

THEATRE RULE:​
Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

--------------------------------------------------------------------

LAW OF COFFEE:​
Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi
atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.

kila unapoingia jf kujibu post yako unakutana na post kibao za kucomment.mia
 
Dah nimezipenda zote aisee kwa kuwa ni za ukweli. Ya telephone iko fulllllll
 
LAW OF ERROR REPETITION;Mtoto mdogo asiyeweza kujua kipi kiatu cha kushoto na kipi cha kulia,daima huvaa viatu ndivyo sivyo,kiatu cha kushoto atavaa kulia and vice-versa.
 
LAW OF MARIAGE
Mara nyingi mke wa mtu huonekana ni mtamu kuliko mwanamke asiye olewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom