Ushawahi kujiuliza hata siku moja uwepo wa vitu hivi

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,559
Ushawahi kujiuliza hata siku moja kwanini hivi vitu vinatokea? Nahisi vingine vishawahi kukutokea na vinaendelea kukutokea, unahisi ni nini, lazima kutakuwa kuna power fulani inaexist kwenye ulimwengu fulani.
1.TUNAPOPANGA MISTARI
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni either iwe bank, supermarket ama kwenye huduma ya foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.
2. TUNAPOPIGA SIMU
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize, hata siku moja uwezi kuikuta busy ni maranyingi itaita tu lakini namba unayoitafuta kwa udi na uvumba ndo inakuwaga haipatikani
3. MUWASHO:
Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune na vilevile Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna, unapokuwa na watu basi utawashwa matakoni ama kwenye korodani ambako ni soo kujikuna ni vigumu izo sehemu zikawasha ukiwa mwenyewe.
4.KUOGA:
Ukishaanza kuoga tu simu itaanza kuita, hii ni pale unapokuwa unasubiri mtu akupigie hasahasa kama alikwambia atakupigia muda huo basi pale unapoenda kuoga tu simu lazima itaita
5. MADEMU
Uwezekano wa kukutana na demu unaongezeka pale unapoamini huwezi kukutana nae. Mfano siku ambayo unayovaa nguo chafu ndo unakutana na demu uliyekuwa unamfukuzia
6.KAHAWA NA CHAI
Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa au chai yako basi bosi atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa au chai yako itapoa.
 
namba 5

Namba 5 iyo mi muhanga Sana
 
Hapo kwenye simu ni kweli. Mie nilipigiwa simu nikiwa najaza maji kwenye ndoo kwa kutumua mpira, kujaribu kuipokea tu ikatumbukia kwenye maji. Naikumbuka kweli simu yangu!!!!
 
Back
Top Bottom