Kanumba na ramsey ni member wa free masssons??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Jamani nimejaribu kuangalia movie nyingi za huyu bwana naona signs nyingi ni zile zinaazotumika kwenye free massons..ndugu zanguni akuna utajiri mzuri kama kutoka kwa mungu...najua atuwezi kufikia mafisadi lakini vijana embu badiliken achaneni na kujihusisha na freemassons kwa njia ya kutafuta hela

nimeshindwa kumtambua baadhi ya alama anakuwa anamaanisha nini lakini kama kanumba upo embu tusaidie kwa hili..nimejaribu kuangalia na picha za ramsey kwa kweli unaweza ogopa kabisa kabisa huyu bwana picha zake nyingi hata baadhi ya mapicha ameweka alama za freemassons.....upo utajiri lakini kwa hili

vijana embu tuwe makini;kanumba ndugu yangu tusaidie kama uko jamvini??
 
Kuhusu kanumba inawezekana maana hata mie nilikua na hisia hizo, ila yeye kanumba aliwahi kukanusha mara kadhaa, ingawa hatutarajii akiri ikiwa hata jay - z aliwahi kukanusha licha ushahidi ulio wazi kabisa
dunia imekwisha wandugu
 
kaka hebu acha ku bluff tafadhali...hizo accusations zako lazima ziwe supported na evidence.
unaposema kuwa umeona signs kwenye filamu zake haitoshi...ukitaja filamu kwa jina na alama husika utasaidia watu kuupata ukweli wa mambo.
 
We kila kitu udesewe nenda google uliza freemassons signs ukizipata nunua filamu zake zote anza kuchungulia bandugu urudi hapa
 
We kila kitu udesewe nenda google uliza freemassons signs ukizipata nunua filamu zake zote anza kuchungulia bandugu urudi hapa

wewe ndio una wajibu wa kuleta ushahidi hapa jamvini na sio kuleta umbea wa mtaani
 
OMFG!! This is too much sasa, yani kila mtu/kitu kinahusishwa na Freemasons?
 
hivi mna ushahidi kuwa hata hao freemasons wanaexisst?au hzo nguvu zao,kuna mtu alishawaona?
 
Jamani nimejaribu kuangalia movie nyingi za huyu bwana naona signs nyingi ni zile zinaazotumika kwenye free massons..ndugu zanguni akuna utajiri mzuri kama kutoka kwa mungu...najua atuwezi kufikia mafisadi lakini vijana embu badiliken achaneni na kujihusisha na freemassons kwa njia ya kutafuta hela

nimeshindwa kumtambua baadhi ya alama anakuwa anamaanisha nini lakini kama kanumba upo embu tusaidie kwa hili..nimejaribu kuangalia na picha za ramsey kwa kweli unaweza ogopa kabisa kabisa huyu bwana picha zake nyingi hata baadhi ya mapicha ameweka alama za freemassons.....upo utajiri lakini kwa hili

vijana embu tuwe makini;kanumba ndugu yangu tusaidie kama uko jamvini??
Mtoa mada ufreemason unaujua au unauckia?kwa ramsey sina ushahidi wa kutosha kama tajiri ila kanumba sio tajiri kama unavyozani ana senti za kujikimu na maisha,kubadilisha mlo na kununua vinguo vya pesa yake ila wakiitwa matajiri kanumba hatoki mbele angekuwa freemason angekuwa ana maajaabu kuliko unayoyaona leo kwake,angekuwa hashikiki,kijana mpambanaji tu ktk maisha,he is not freemason na sijui kama anajua maana yake
 
...Ukweli ni kwamba tunachanganya kila kitu na Freemason...Jamani kama ni hivyo kila mtu ni member wa hawa jamaa...
 
[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1] Dar es Salaam, Tanzania: Freemasons hall - Grand Lodge of East Africa
[/SIZE][/FONT]

Hili jengo lipo nyuma ya Kilimanjaro (Kempinski) Hotel.

Kanumba sidhani kama ana ubavu wa kuwa Freemason.
 
hivi mna ushahidi kuwa hata hao freemasons wanaexisst?au hzo nguvu zao,kuna mtu alishawaona?
Andy Chande ndie Mkuu wao hapa EA na hilo lipo wazi mwenyewe huwa anasema na huwa yeye na jamaa zake hutoa michango ya kusaidia jamii,jengo lao lipo nyuma ya Bima Kitega Uchumi mkabala na Kilimanjaro Kempsiki,sasa ndugu sijui unataka ushauri gani kuwa hawa watu wapo hapa bongo wapo kibao na wote wanazo hakuna lofa
 
watz kwa miimani ya kishirikina na kuwahisi wenzao vibaya mmmezidiii......kwanini mnasema kanumba ni freemason???? ni juhudi na jitihada zake na Mungu anamiuinua yaan msioneee mweee hebu fanyeni yenu kwa bidiii jueni matumizi mazuri ya pesaa afu muone mafanikio yake..kwa hili kanumba namtetea..huyo mwingine sina uhakika...
 
Kanumba free masson? kwa kipi, mkuu kuwa free mason unakusia kwenye radio eeh, kanumba labda afanyekazi kwanguvu baada ya miaka 30 ndo ataweza kujiunga.
 
Kanumba free masson? kwa kipi, mkuu kuwa free mason unakusia kwenye radio eeh, kanumba labda afanyekazi kwanguvu baada ya miaka 30 ndo ataweza kujiunga.

Hakuna fomu zinazotolewa pale,isitoshe wana m-recruit mtu mwenye influence kwenye jamii ili aweze kusaidia kutekeleza sera za

kuelekea kwenye serikali moja[NEW WORLD ORDER] kama vile Rais[Obama,Museven................] wanamuziki(ku-spoil kizazi cha vijana) kama

vile[ Jay Z,Lil Wayne,Lady Gaga..........................] wacheza soka,mpira wa kikapu etc,kama huna influence lazima usote sana kuvaa mipete

na kuingia lecture pale lodge,[free masons wapo wana exist na lengo lao ni kutufikisha kwenye serikali moja inayoongozwa kwa misingi na

maelekezo ya great archtecture(lucifer)]

NB:Hawa jamaa wana bluff ishu nyingi ili tuwekeze muda wetu ktk kuwajadili wakati wenyewe wanasonga mbele ktk elimu,hasa genetics,ndio

maana huwezi kushangaa kumuona Koffi Annan anaenda Mbeya kuhamasisha matumizi ya mbegu zisizo na kimea,au Bush anakuja kuzindua

mradi wa vyandarua vya hati punguzo(vyenye sumu ya miaka mitano)ili kuratibu ukomo wa maisha(life expectancy) ya masikini kuwa miaka

50,visingizio na vitisho vya ugaidi,uchonganishi wa kidini,machafuko,mlipuko wa magonjwa ya kimaabara[UKIMWI,KIMETA,MAFUA YA NDEGE

N.K] kifupi hawa jamaa walipofikia ni balaa(siwatishi) cha msingi ni kuachana na hii ILLUSSION( kama tunavyoiita WAJAMAA) na kufanya

mambo yetu kwa tahadhari ya vyakula,madawa na misaada tunayoletewa,tukumbuke hakuna kitu cha bure dunia hii......nothing goes for

nothing(quid pro quo) NA TUKUMBUKE "DONNA ACCIPERE,LIBERTATEM VENDERE" [RECEIVING OF PRESENTS IS SELLING OF FREEDOM]
 
[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1] Dar es Salaam, Tanzania: Freemasons hall - Grand Lodge of East Africa
[/SIZE][/FONT]

Hili jengo lipo nyuma ya Kilimanjaro (Kempinski) Hotel.

Kanumba sidhani kama ana ubavu wa kuwa Freemason.

Nimewahi kuingia kwenye hili Jengo, sijawahi kuona chochote mle ndani kipindi nikiwa muajiliwa wa Pale Ofisi za Bunge, inashangaza kusikia sifa zao, lakini jengo lao linaupweke sana......
 
Nimewahi kuingia kwenye hili Jengo, sijawahi kuona chochote mle ndani kipindi nikiwa muajiliwa wa Pale Ofisi za Bunge, inashangaza kusikia sifa zao, lakini jengo lao linaupweke sana......

ulienda kufanya nini, na ulikuwa na nani
 
Back
Top Bottom