Kanumba na lugha ya Kiingereza

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205
("Hello and welcome,

I've been blessed to live my dream, for quite a while now. From an early age I've wanted to be an actor and to make a difference in people's outlook on life by way of the art of acting.

I've had the priviledge and opportunity to work with some of the best actors on the continent, making movies that in some way or the other influence peoples' lives and outlooks. That being said there are still more movies to be made and many talented people to work with all over the world.

I hope that this site will be a window through which you may take a peek at my life and career. This is the best place to find out about what I'm working on, with whom and a whole lot of other fun stuff I get up to.
Enjoy!"
)

Wadau mimi sio mtaalamu wa kiingereza kwa sana, ila naomba mnisaidie hapo kwenye rangi nyekundu labda mimi ndiye nisiyeelewa. Hii iko kwenye ukurasa wa mbele wa website ya kanumba.

Kanumba, The Great
 
Mkuu kama unaangalia Grammar its full of Grammatically errors na sio hapo tu ulipo-bold...

Mimi simlaumu kwamba hajui lugha na ninamsifia kwa kutumia English sababu hapo impact itakuwa kubwa na watu wengi wa sehemu tofauti wataweza kusoma.... LAKINI....

Hapa kuna uzembe, na kutokuwa makini... hii ni website na should look professional, tofauti na hapo ataonekana hayuko serious.., hivi kweli anashindwa kumpelekea mtu yoyote amuandikie au apitie alichoandika mpaka kiwe perfect??

Na sio yeye tu website za watu wengi hata serikali they are so unprofessional and full of typos..
 
It's gramatically correct. Ila kwa hakika hakuandika yeye. Au kuna mtu ame-edit baada ya yeye kuchapia.
 
Mkuu are you serious.., hio sentensi ipo awkward..

Ni bora angeandika...

From an early age I have always wanted to be an actor au..
I have always wanted to be an actor from an early age
 
i second u voice of reason..the whole piece has errors,kama kaandika Kanumba mwenyewe,thumbs up to him coz he has come along way bt if sumone did it for him its a shameg,let him get a person wit a gud command of English!
 
Amejitahidi sana! Muammar Gaddafi hajui hata kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ingawa ni kiongozi wa nchi.
 
("Hello and welcome,

I've been blessed to live my dream, for quite a while now. From an early age I've wanted to be an actor and to make a difference in people's outlook on life by way of the art of acting.
I've had the priviledge and opportunity to work with some of the best actors on the continent, making movies that in some way or the other influence peoples' lives and outlooks. That being said there are still more movies to be made and many talented people to work with all over the world.

I hope that this site will be a window through which you may take a peek at my life and career. This is the best place to find out about what I'm working on, with whom and a whole lot of other fun stuff I get up to.
Enjoy!"
)

Wadau mimi sio mtaalamu wa kiingereza kwa sana, ila naomba mnisaidie hapo kwenye rangi nyekundu labda mimi ndiye nisiyeelewa. Hii iko kwenye ukurasa wa mbele wa website ya kanumba.

Kanumba, The Great
Ukiangalia kwa makini kachemka sana. Unajua tuwe wakweli hivi ukikuta tangazo la kiswahili limeandikwa 'hii ni balabala ya mwanza' akimaanisha hii ni barabara ya mwanza utamuelewa??. Tunapoamua kutumia lugha flani tujitahd kuitendea haki vinginevyo utapotosha hata maana ya unachotaka kukisema. Unadhani wangapi watasema Kanumba kajitahidi..au watakaosema sio lugha yake bwana..kitakachoonekana ni kukosa umakini..
 
Amejitahidi sana! Muammar Gaddafi hajui hata kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ingawa ni kiongozi wa nchi.

Mkuu website portrays your image.., (ni kama nyumbani kwako ukipaacha pachafu..) kwahiyo hata kama hajui kuna watu wangeweza kumuandikia... ukifanya mambo kwa mzaha utaonekana haupo serious
"Clothes Makes a Pirate"
 
Mkuu are you serious.., hio sentensi ipo awkward..Ni bora angeandika...From an early age I have always wanted to be an actor au..I have always wanted to be an actor from an early age
Mkuu. Sentensi ya Kanumba na hizo za kwako zote si sahihi. Ila hiyo 'an' ikitolewa ikawa mfano ' from early age' au 'from my early age' zitakuwa sawa.
 
("Hello and welcome,

I've been blessed to live my dream, for quite a while now. From an early age I've wanted to be an actor and to make a difference in people's outlook on life by way of the art of acting.

I've had the priviledge and opportunity to work with some of the best actors on the continent, making movies that in some way or the other influence peoples' lives and outlooks. That being said there are still more movies to be made and many talented people to work with all over the world.

I hope that this site will be a window through which you may take a peek at my life and career. This is the best place to find out about what I'm working on, with whom and a whole lot of other fun stuff I get up to.
Enjoy!"
)

Wadau mimi sio mtaalamu wa kiingereza kwa sana, ila naomba mnisaidie hapo kwenye rangi nyekundu labda mimi ndiye nisiyeelewa. Hii iko kwenye ukurasa wa mbele wa website ya kanumba.

Kanumba, The Great

kwani huyu bwana kasomea wapi?,si kwenye shule zetu hizi hizi?,kajitahidi sana mpaka kuandika hivyo,wangapi wenye level ya elimu yake hawawezi kuandika hata nusu ya hayo?
 
Mkuu. Sentensi ya Kanumba na hizo za kwako zote si sahihi. Ila hiyo 'an' ikitolewa ikawa mfano ' from early age' au 'from my early age' zitakuwa sawa.

Mkuu from early age is not correct hapo unahitaji article the au an

Kwahiyo from an early is correct from early does not sound correct
 
kwani huyu bwana kasomea wapi?,si kwenye shule zetu hizi hizi?,kajitahidi sana mpaka kuandika hivyo,wangapi wenye level ya elimu yake hawawezi kuandika hata nusu ya hayo?
Wengi hatuwezi lakini hakuna mtu anaeshindwa kumuomba mwingine amuandikie.. professionalism
 
Back
Top Bottom