CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #41
Duh! Majanga!!!!angekupiga mpepe mkuu
Duh! Majanga!!!!angekupiga mpepe mkuu
Ata kama angekuwa nani angesanda ayo matusi ayo!!Teh teh amesanda kutia voko kwa punga
Teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!Ha ha ha
Wafuasi wa cameroon humu wapo kibao kuwa makini siku nyingineAta kama angekuwa nani angesanda ayo matusi ayo!!
Ahsante mkuu, takuwa makini sana!Pole mkuu... Next time kua makini na hizi avatar
Yaani mpaka sasa hajaitoa!Mkuu wewe Huna kosa. Na huyo wa kuweka picha ya nyapu kumbembe njemba! !! Stupid.
Kweli!Wafuasi wa cameroon humu wapo kibao kuwa makini siku nyingine
Sana!ajabu sana
Huo mziki uliwa ni balaa!Umekutana na mziki wa faiza ninj?
Mkuu picha ni yaukweli sana!Bado kidogo tu ungechezea moto unapagawa picha
Acha utani bado picha hajatoa sasa mbona hajibu hoja zinazoelelezwa kwake kutakuwa anamanufaa nayo hiyo picha itakuwa na member wake anawadirect lakin ndio maisha ya town hapaYaani mpaka sasa hajaitoa!
Maisha ya tauni ni usanii sana mkuu!Acha utani bado picha hajatoa sasa mbona hajibu hoja zinazoelelezwa kwake kutakuwa anamanufaa nayo hiyo picha itakuwa na member wake anawadirect lakin ndio maisha ya town hapa
Hahahaha dah aisee mkuu yalikukuta nn ??Kuwa makini dogo,afadhali huyo kakuchana laivu kuwa yeye dume.Mwengine angekulia ganzi halafu ungeenda kukutana na gharika!.