Bw. Moshi ukisoma Ezekiel 18, ina sema kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake, na kitabu cha Matayo pia kina sema hivyo . Lakini ni kweli tusichoke kuombeana daima. Na pia tuwe wepesi kusameheana saba mara sabini....Si sahihi kusema ukifa maombi hayakusaidii. Mbona Martha alimwombea ndugu yake Lazaro kwa Yesu, baada ya Lazaro kufa, na Yesu akamfufua?
God exists outside time. Sala za baada ya mtu kufa ni available to God at the moment of judgement. Si za baadaye maana hakuna baadaye huko, kwani hakuna time.
Hatujui kama mtu yeyote amepotea. Hilo tunamwachia Mungu. Letu ni kuomba bila kuchoka.