Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

Hii dunia ina mwanga na kiza na vyote vinaenda pamoja
So Mshana wewe umechagua kiza huku ukijua kabisa kwamba ni kiza!Aisee,Mshana hii kwangu haipandi.Anyway ni sawa,you have a free choice,but a day of reckoning is coming,when every soul will be brought to book by the God of Abraham,Jacob and Israel for its' evil deeds.However you still have time to repent and change course Mshana.
 
Translation

Hekalu la Shetani lina kile kinachoita "ibada ya utoaji mimba" - na sasa inashtaki jimbo la Texas kwa haki ya kufanya sherehe hii "ya kidini" bila kizuizi.

Iliyowasilishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Merika kwa Wilaya ya Kusini ya Texas, Idara ya Houston kwa niaba ya mshiriki wa Hekalu la Shetani "Ann Doe," shtaka hilo linadai kwamba "kanuni fulani za utoaji mimba zilizoamriwa na serikali zinakiuka uhuru wa kidini wa washiriki wake,"

"Wanasema kanuni, kama vile zinazohitaji wanawake wanaotaka kutoa mimba kuchukua sonogram na kuchunguza matokeo, soma juu ya utoaji mimba na kukaa muda wa lazima wa kusubiri, kukiuka mafundisho ya dini ya hekalu."

"Ni halali kutoa mimba huko Texas," tovuti hiyo inaendelea. “Lakini utaratibu huo umepigwa marufuku baada ya wiki 20 isipokuwa hali ya kiafya inayohatarisha maisha ikihusishwa au kijusi kina hali mbaya sana. Ikiwa mtu anastahiki, serikali inamtaka apate sonogram na apokee makaratasi juu ya hatari za kiafya, njia mbadala za kupitishwa na hatua za ukuaji
Wa kijusi

Itaendelea,.......
 
So Mshana wewe umechagua kiza huku ukijua kabisa kwamba ni kiza!Aisee,Mshana hii kwangu haipandi.Anyway ni sawa,you have a free choice,but a day of reckoning is coming,when every soul will be brought to book by the God of Abraham,Jacob and Israel for its' evil deeds.However you still have time to repent and change course Mshana.
Sijachagua kiza.... Giza ndio asili ya uumbaji

Sijachagua kiza.... Giza ndio asili ya uumbaji

Ndio Mshana,ila that was not Gods' plan.It was all because of evil.
 
Sijaisoma thread nzima ila imepata point. Hapa kuna mambo Matatu ( Texas, Ann Doe na Abortion) swali langu hivi kufanya abortion ni kutoa kafara ?

huko Texas kulikuwa/ Kuna sheria inayo mruhusu mwanamke kutoa ujauzito wake, lakini sheria hii imechange kidogo kuwa utaruhusiwa kutoa lakini lazima usubirie ruhusa yao masaa 24 kabla ya kufanya abortion ( sijui nipo sahihi maana nimesoma haraka sana thread ndefu kinouma 😂) wao wasicho kihitaji hao dini la shetani ni kuwa wanataka kusiwe na haja ya kusubiria mambo ya ruhusa iwe ni maamzi ya mtu binafs kutoa ujauzito.
Hao Ann Doe nimesoma kuwa wanaibada ya uhuru wa mwili ambao inahusisha hadi kutoa mimba.

dah dunia hii ina mambo hatari 😂😂
 
Nadhani hujaelewa vizuri,ila sikulaumu.Abortion ni kutoa mimba.Sasa vile vichanga ambavyo vimekuwa aborted ndivyo vinavyotumika kwenye kafara na shughuli zingine za Satanists.Nasikia vitoto vichanga vina matumizi mengi kwa Satanists,Mshana Jr.anajua zaidi nadhani.

Sasa kilichotokea ni nini, ni kwamba serikali ya Texas imebana sana kwenye sheria ya mwanamke kuweza kufanya abortion.Hatua hii imepunguza sana idadi ya vichanga vinavyopatikana kwa ajili ya matumizi ya hao Satanists ya kishirikina, na hivyo kuwa-infuriate kiasi cha kuamua kwenda mahakamani!Ni ajabu na kweli.
 
Yah nimekupata
 
Kuna andiko niliwahi soma mahali flani kwamba...Hivi vichanga vitokanavyo na mimba kuharibika au makusudi huwa kuna sehemu za miili yake hukauswa na kusagwa ungwa. Then unga huo huuzwa bei ghali kwenye makampuni makubwa ya vinywaji hasa soda. Maana yake hizi soda zina kasheshe ndani yake na huwezi fanya biashara ya vinywaji bila hawa jamaa kukutembelea.

Another surprising story ikawa ni kwamba, unga huu huu pia unatumika kama sehemu ya mojawapo ya chanjo za watoto, hizi hizi wanazochoma kwenye mahosptali yetu ya nchi za ulimwengu wa tatu. Nilibaki mdomo wazi na maswali lukuki.

Haya mambo yaweza kuwa kweli, hii Dunia sio salama kabisa.
 
Nyama ya watoto wachanga(infants) ni mojawapo ya nyama nghali zaidi duniani na hupikwa kwa oda maalum tena kwenye hotel za nyota 5 ama zaidi
Umuhimu wake kiroho na kimwili
Afya
Kukarabati seli mfu
Kuondoa hofu
Kujenga ujasiri

Damu yake huchukuliwa kama damu safi na salama iliyo bora kwa kafara zenye nguvu..sijawahi kushiriki moja kwa moja lakini
One thing ninacho admire about Mshana Jr: Yuko very transparent when it comes to matters of knowledge.
 
Hii dunia ina mwanga na kiza na vyote vinaenda pamoja
Kibaya zaidi hata Mungu mwenyewe alishindwa kuliondoa giza akaamua atenge,. Nuru ilikuja badae, giza lilikuwepo hata kabla ya uumbaji. Mambo magumu Sana haya.
 
Sijachagua kiza.... Giza ndio asili ya uumbaji

Kiza was a result of evil,haikuwa asili ya uumbaji Mshana.In God there is no darkness.Satan is the prince of darkness.
 
Wabongo poleni sana.Zamani darasa la sita tu Kingereza si shida,unakibonga kama kawa.Jamaa wameingilia kati elimu yetu,sasa hivi si mali kitu.Kwa sasa hata mwenye degree sentensi yake ni mkusanyiko wa maneno!Sidharau Kiswahili,nakipenda,ila inabidi tujue an international language kama Kiingereza,hatuishi kwenye kisiwa.
Hiki chako cha hapa mwishoni ni ushahidi pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom