Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

Au jiulize hivyo vyakula walivyoenda kula Waisilamu vimeandaliwa kwa jina la nani?yaani nani kachinja mbuzi au kuku n.k,na hicho chakula kimeombewa kwa jina la nani?
Uisilamu unataka elimu sio mchezomchezo,Mfano usitarajie ule msikiti wa Dodoma kila Muisilam anayejitambua ataingia kuswali
 
Swali lako ni la kichoko sana
Si ajabu utakua choko?


Hapo katika hilo swali kuna majibu matatu tu:-

1---Ni futari ya siku moja tu.
2---Itakuwa ni futari ya siku kadhaa.
3---Sijui.

Maneno mengine zaidi ya hapo ni kuonyesha jinsi kichwa chako kilivyokuwa "KAPUT", zwazwa weeee.
 
SDA hawana kanisa,kwa hakika si waKristo wa si waIslam ila nawapongeza wamefanya jambo jema.
Mkuu wewe ndiye unayeamua dhehebu gani ni Wakristo na lipi si Wakristo! Pole sana kwa chuki hiyo. Usamehewe bure.
 
Wala cocacola hawanywi,.majani ya chai hawatumii,na mwisho kabisa hawa jamaa so wazinifu.
Kwenye Cocacola + kutokuzini ni kweli..

Haswa ukute mtoto wa kike wa kisabato...vibishi balaa.

Miaka ya nyuma kuna mmoja alikuwa ananikomalia nimuoe,kwao ndoa ni jambo muhimu sana.
Ila changamoto inakuja,jee? Akiolewa atakubali kuwa straight na dhehebu la mume wake?
 
Si wanasemaga kuwa ni makafiri imekuaje wakala chakula cha makafiri,
Neno hili huwa linanikera sana sema tu basi, kumuona kiumbe wa Mungu kuwa ni kafiri
Hata mimi nilikuwa kwenye Ukafiri. Nikaachana nao nikaingia kwenye Uislamu dini ya haki.
 
Kwenye Cocacola + kutokuzini ni kweli..

Haswa ukute mtoto wa kike wa kisabato...vibishi balaa.

Miaka ya nyuma kuna mmoja alikuwa ananikomalia nimuoe,kwao ndoa ni jambo muhimu sana.
Ila changamoto inakuja,jee? Akiolewa atakubali kuwa straight na dhehebu la mume wake?
Kamoja kalinipendaga b4 sijaoa nikaoe,nikashindwa masharti ya kubadili dini nikachomoa.
Dah kakaolwwa na msabato mwenzake,kameshakuwa kamama kana mawe kako BOT.
 
HAO NI WAISLAMU JINA HAO TANGU LINI DINI IKARUHUSU ULE FUTARI ILIYOPIKWA NA MANASWARA

HAO NI WAROHO MUISLAMU ALIYEIJUA DINI YAKE VIZURI HAWEZI KUBALI HUO UPUUZI

SIO KAMA MI NI MCHOCHEZI HAPANA NAIHESHIMU DINI YENU WAKIRSTO NA NAHESHIMU UWEPO WENU HAPO NAJARIBU KUWASEMA WANAOTUHARIBIA DINI PASI KUWA NA ELIMU
 
Back
Top Bottom