johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
- Thread starter
- #21
Ni sunna!Wenyewe wanasemaje, inaswihi kulishwa ftari na mtu yoyote?.
Ni sunna!Wenyewe wanasemaje, inaswihi kulishwa ftari na mtu yoyote?.
Ndio, na wakishakuja mkajadilie kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, au jukwaa la dini.Ngoja waje!
Dini ni siasa ndio maana shehe Ponda yuko Chadema na yule bishop MwamakulaNdio, na wakishakuja mkajadilie kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, au jukwaa la dini.
Acha hasira jibu kwa utulivuMjinga ni wewe unayedhani mkristo na muislam ni maadui..
Km wote wanamuabudu Mungu na Mungu wa hawa wote wawili anafundisha upendo.
Shida yako ni nini???ulitaka wakatane mapanga???
We bora ukae nyumbani tu hata kanisani usiende hujajua kwanini unaabudu unapoteza mda
kwa sababu Uislam ni dini ya kweli ukristo ni dini ya biashara tu,,,Hivi kwanini Wakristo tunapenda sana kujikomba kwa waislam? Mbona sionaji kinyume chake???
Hicho ulichoandika ni kirumi ama?SDA hawana kanisa,kwa hakika si waKristo wa si waIslam ila nawapongeza wamefanya jambo jema.
Acha uchochezi mkuuHivi kwanini Wakristo tunapenda sana kujikomba kwa waislam? Mbona sionaji kinyume chake???
Picha? Video? Hakika Mwendazake amekwenda
WASABATO nawafahamu vizuri, hawatumii nguruwe, wala hawatumii pombeHivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
Wewe kama mimi. Hasira zangu nikisikia hilo neno hazipimiki.Si wanasemaga kuwa ni makafiri imekuaje wakala chakula cha makafiri,
Neno hili huwa linanikera sana sema tu basi, kumuona kiumbe wa Mungu kuwa ni kafiri
Chema chajiuza kibaya chajitembeza....!!Hivi kwanini Wakristo tunapenda sana kujikomba kwa waislam? Mbona sionaji kinyume chake???
Ndungu hakuna msabato anaekula ngurue wala anaeuza bar,km yupo huyo sio msabato ,au amerudi nyuma kiimanHivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
Sawa mkuu nimefuta kauli. Kazi IENDELEEAcha uchochezi mkuu