Kanisa la Pentecoste latoa usajili kwa Zumaridi Mungu wa chini ya jua

kinsakina

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,076
1,058
Kanisa la Pentekoste linahitaji kutazamwa upya USAJILI wake, limetoa usaji kwa kanisa la ZUMARIDI anayejiita mungu CHINI ya JUA. HUENDA VIONGOZI WA PENTECOSTE WALIPOKEA RUSHWA KULIPA USAJILI HILI KANISA KWA KATIBA YAO,nafikiri kilichofanyika mwanza watu wameshuudia uhuni wa hili kanisa,waumini wanapambana na shetani Kwa kuharibu miti
 
kanisa la pentekoste linahitaji kutazamwa upya USAJILI wake,limetoa usaji Kwa kanisa la ZUMARIDI anayejiuta mungu CHINI ya JUA.HUENDA VIONGOZI WA PENTECOSTE WALIPOKEA RUSHWA KULIPA USAJILI HILI KANISA KWA KATIBA YAO,nafikiri kilichofanyika mwanza watu wameshuudia uhuni wa hili kanisa,waumini wanapambana na shetani Kwa kuharibu miti
We unakumbuka ulikoacha akili yako? Kanisa linasajili kanisa lingine?
 
Kanisa la Pentekoste linahitaji kutazamwa upya USAJILI wake, limetoa usaji kwa kanisa la ZUMARIDI anayejiita mungu CHINI ya JUA. HUENDA VIONGOZI WA PENTECOSTE WALIPOKEA RUSHWA KULIPA USAJILI HILI KANISA KWA KATIBA YAO,nafikiri kilichofanyika mwanza watu wameshuudia uhuni wa hili kanisa,waumini wanapambana na shetani Kwa kuharibu miti
Mkuu, hebu fafanua kidogo kuondoa sintofahamu!

Kanisa lipi la Pentekoste? KLPT? FPCT? PAG? n.k.
 
Huyu mtu aliyetokea mahakamani hivi punde. Anapataje kibali kirahisi rahisi namna hiyo.

Dini siku hizi zimegeuka kuwa michongo.

Ndio maana mm siku hizi mm nashinda kanisa la bar
 
Back
Top Bottom