Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Mimi nimeelewa kwamba uislam ni dini iliyoanzishwa kijanja janja kwa maana nyingine Uislam si dini ya kweli
Dini ya kweli ni ipi?.Unajuaje kuwa hii ni dini ya kweli na hii ni dini ya uongo?.Unajua asili ya neno dini limetoholewa toka rugha gani?.Unatumia akili zako kufikiri au unatumia akili za watu wengeni kufikiri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Quran imeandikwa kwa msaada wa Rumi (Jesuit ) kutoka na na mkusanyiko wa vifungu ktk Torati na baadhi yalinukuliwa ktk uhalisia wa Dunia Kwa faida ya Kanisa la Rumi (RC)
Umejuaje, ulikuwepo, ulishuhudia.Ulikuwa mmoja wao?.Unaakili wewe?.Akili zako wamekushikia hao JESUIT?.Leta ushahidi toka nje ya JESUITS kama kweli unatumia akili zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalijua neno hili DINI wewe?.Neno DINI asili yake ni rugha gani?.Kuna mtu asiyekuwa na DINI?.Au huna unachojua juu ya DINI?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha yangu huwa hakuna suala linalonishangaza na kuniumiza akili kama hili ; Kwa nini watu ni wagumu sana kukubaliana UKWELI ? Kwa nini UKWELI unapingwa zaidi ya jambo au kitu chochote chini ya jua . ?

Mtoa post ni kweli tupu mambo hayo lakini ndiyo hivyo , maana adui mkubwa wa GIZA ni NURU .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafunzo gani mnatapata tuu...toa facts
 
Buhahahahahahan

Mjinga ni Mjinga tu


Buhahahahahaha

Nimecheka sana mpaka mawasiliano baina ya akili,pumzi na mbavu,yamekosena

asante kwa urojo Chief

unafaa kutengeneza tamthilia

Dah....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Kila anaekuja,anakuja kwa style yake

Kweli kabisa

Adui mkubwa wa Akili na Elimu,ni Ujinga

Hususan Ujinga wa kurithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kuwa ni kweli?. Ulikuwepo wakati yanafanyika hayo?. Unatumia akili zako kufikiri?.Umeshikiwa akili na hao wanaidai hivyo?.Unauwezo wa kuthibitisha haya madai ni kweli kwa akili zako Mwenyewe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiisha kudanganyana huko kanisani mnakuja na huku kwenye mitandao kupotosha
 
Dini tumeletewa tu...tumezipokea.Kabla ya Ukristo na Uislam babu wa babu yako alikuwa anaabudu MUNGU gani?
Niwakumbushe ninyi viumbe wapofu...babu zenu walitambika chini ya mibuyu na maombi yao yalisikilizwa mvua zikanyesha na majanga yakatokomea.Walipofika hao wageni waliona wivu vile mawasiliano ya babu yako na MUNGU yalivyo imara wakaanza kuwavuruga na kuwagawa wewe Mkristo na yule Muislam.Mmeacha kutambika mkiaminishwa ni chukizo kwa MUNGU,lkn mbona aliwasikiliza?
Mmebaki kutambiana tu nani bora na ipi dini ya kweli?
Dini ya kweli Ni matendo yako mema yanayompendeza MUNGU,hakuna maana kama umeukumbatia uislam lakini roho yako imejaa chuki kwa asiye amini uislam.Hakuna maana kuukumbatia ukristo huku matendo yako ni chukizo kwa jamii,familia na MUNGU wako.
Waja mnapambana kuonesha dini ipi bora huku tukisahau kuishi huo ubora wenyewe...
Kama Waislam tuingeishi kwa dhati mafundisho ya Qur'an...wale makafiri mioyo ingelegea tu na kuslim. Na kama Wakristo tungeishi kwenye misingi ya ukristo basi dunia ingekuwa sehemu salama zaidi leo na kesho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…