Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Teh teh teh .....,Watu wanamaneno eti KUCHENJUANA MAKINIKIA
 
Namuomba Mungu Mwenyez Mwingi wa rehema na mwenye kusamehe aniue kabla cjayashuhudia mambo haya kwa macho yangu
 
Yaani wanadamu wana mengi kuhalalisha ushoga ni ujinga/upumbavu na urofa ambao hata mbuzi hawezi kufanya
 
Wafia dini hua hamtaki kukubali ujinga wa dini zenu. Aliesema ni kiongozi mkubwa tu wa kanisa katoliki, mteule wa papa.
Wewe uwe na uelewa! Maana halisi ya kanisa katoliki nikwamba haliwezi kuwapinga na kuwatenga mashoga ya kwamba wasisali ktk makanisa yao ila kwa herufi kubwa kanisa katoliki haliwezi kuwafungisha ndoa mashoga kwani kwa Mungu hakuna ndoa za jinsia moja.
 
Naona watu wanaanza ku-attack wakatoliki. Kanisa katoliki ni taasisi tu ambayo inaweza kuanzishwa tu kama taasisi zingine na inaendeshwa na watu japo zingine mnadanganyana zilishushwa na Mungu. Tunaabudu MUNGU sio kanisa. Kanisa kama gari tu kuelekea unapohisi unaweza kufika so sio lazima uamini anachoamini dereva.
 
Aliyesema ni Kadinali wa kanisa katoliki huko, sio mtu mdogo, ni mteule wa papa.
Sawa kadinari ni mteule Wa papa lakini anaweza akawa ni padre Wa kawaida kwa hiyo ukadinali usikusumbue kivyeo katoliki baada ya papa ni maaskofu Wa majimbo
 
kama kanisa limeruhusu moyo unaniuma sana bora nibadili dini tu niwe msilamu
 
Kuliko nyie ?
Hahahahaa lini tumetangaziwa hapa masheikh wamefira vitoto? Kila siku hapa ni mapadri na maaskofu. Na ndoa za jinsi moja ndio usiseme mpaka na bunge linapitisha sheria rasmi za wanaume kusodomana.
 
Mbona nackia kwenye nchi wanazooa wake wengi ndo wanapenda sana mchezo wa kudukua wanaume wenzao?
Hahahahaa umesikia? Weka taarifa hapa mkuu. Adhabu ya kufanya kitendo hicho ni kifo kwa baadhi ya nchi za kiislam kama Saudi Arabia.
 
Hahahahaa umesikia? Weka taarifa hapa mkuu. Adhabu ya kufanya kitendo hicho ni kifo kwa baadhi ya nchi za kiislam kama Saudi Arabia.
Oooh...!! Kumbe vitendo vya kudukuana vipo huko ulikokutaja ila na adhabu zipo cyo?
 
MLETA POST NADHANI UNA NIA OVU DHIDI YA KANISA KATOLIKI. NA WATANZANIA TUSIVYOPENDA KUSOMA BASI TUNAAMINI KILICHOLETWA NA MTOA MADA. PENGINE MTOA MADA LUGHA YA KIINGEREZA INAMSUMBUA AU UELEWA WAKE WA KUSOMA JAMBO NA KULIELEWA UNA MASHAKA. LAKINI PIA INAWEZEKANA HATA MLETA POST HAKUSOMA IYO TAARIFA VIZURI. HAKUNA MAHALI ILIPOELEZA KUWA KANISA LIMERIDHIA USHOGA KWA NAMNA YOYOTE ILE NA UKISOMA TAARIFA ILIYOKO KATIKA HIYO LINK INAELEZA KABISA NAMNA ASKOFU ALIVYOELEZA KUWA KANISA HALIWEZI KUBADILISHA KUSUDI LA MUNGU LA NDOA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME. TAFADHALI MUISOME HIYO LINK MWANZO MWISHO ILI KUJIRIDHISHA NA TUSIWE WATU WA KUHUKUMU NA KUTOA COMMENTS KIRAHISI BILA KUSOMA. NDO MAANA HATA SHERIA YA MITANDAO ITAAMBAA NA WENGI.

KITU NIMEJIFUNZA WATANZANIA TUNA TABIA YA KU JUDGE MAMBO BILA KUSOMA NA KUJIRIDHISHA KAMA LINALOSEMWA NI KWELI AU LAA!!!!
Wewe kwa ufahamu wako unaona huko ukatolikini mko salama na ibada zenu hizo za sanamu? ??

Huoni mnavyopotezwa kwa kukosa maarifa?

Stuka!

uoni mnavyopotezwa kwa kukosa maarifa?

Stuka!
 
Oooh...!! Kumbe vitendo vya kudukuana vipo huko ulikokutaja ila na adhabu zipo cyo?
Vipo ndio sema wanajificha ukifahamika wanakuua.tofauti na huko kwa wenzetu mpaka serikali inaruhusu watu wafumuane waziwazi. Hivyo vitendo dunia nzima hakuna sehemu ambayo huwezi kukuta watu wanafanya mambo hayo.
 
Cha msingi ni ww kuwajengea mwanZo mzuri wanao na wadogo zako wajiepushe na hili janga..
Kidogo kidogo tu watz mtakuwa wapole. Mapunga watahalalishwa tu..teh teh dunia hii!!!
 
Malta Archbishop Charles Scicluna told a church community recently: "We are not against gays... But we do not need to change the way in which God created marriage to enable us to say that two men or two women can get married.
Nimegundua watanzania kitakachotuua hatukijui mtu kama unachuki bnafsi na kanisa katoriki bora ukaseme au shida ni nini yaani siwaelewi watanzania au ni vile kingereza hakieleweki kwa watu wengi mpaka mtoa uzi anakurupuka. Kinachonisikitisha ni namna watu wengi wanavyochangia wakikashifu na kutoa maneno makali namna hii bila hata kusoma na kujiridhisha juu ya hicho kinachosomwa.
Kwa kifupi wakatoriki hasa viongozi wa Kanisa ni wasomi wakubwa na ukitaka kuelewa speech zao lazima usome between lines kwa kjzazi cha Leo cha watanzania ni ngumu sana kuelewa ndio maana mtaendelea kutoa mapovu na mwisho wa siku kanisa liko imara kama chuma cha mjapani na linaendelea kujipambanua ktk maendelea yake ya kimwili na kiroho. Kwa mtu makini ambaye ameingia na kusoma kilichoandikwa kwenye hiyo line awezi kuja hapa na kukurupuka kuchangia namna hii ninavyoona labda wale wanaopambana na ukatoriki bila kujua historia ya kanisa. Nimepata wasiwasi mkubwa na watanzania.
Poleni sana
"We are not against gays". Mkono mkavu hii kauli peke yake inaonyesha kuwa wanawaunga mkono hao wanaotaka kuoana wa jinsia moja. Watanzania tumeelewa tatizo sio hiyo lugha ya malkia. Kama kiongozi wa dini tena dini kongwe kama katoliki kiongozi wake anatakiwa kuwa muwazi (straight) kwenye jambo kama hili na si kumumunya Maneno. Dini imeshakataza mahusiano ya jinsia moja na imeshatamka kuwa ni dhambi mbele ya MUNGU, inakuwaje wewe askofu mzima unaunga mkono jambo hili. Haya mambo huanzaga taratibu na baadae jamii huaminishwa kuwa ni sawa.
Sijui litafuata agano lipi sasa, maana kwenye agano la kale leo hii wakristo wengi hawalitumii sababu limekataza nguruwe asiliwe, likaletwa agano jipya ambalo bwana Yesu alisema "kiingiacho si haramu bali kitokacho" kauli hii wanaitumia wakristo kuhalalisha kumla nguruwe, sasa naona makanisa mengi hasa ya katoliki marekani na ulaya wanaunga mkono suala hili la mahusiano ya jinsia moja. Kumbukeni kuwa hawa ndio waliotuletea hizi dini huku kwetu Africa na ndio wafadhili wetu wakuu, hivyo wakilianzisha jambo hata kama makanisa ya huku kwetu yatalipinga, ni suala la muda tu lazima tutaelekea hukohuko hata itachikua miaka hamsini kwa jambo hili kukubalika kabisa huku kwetu
Wasiwasi wangu wasije wakaja na agano lingine kuacha la kale na jipya ili waingize mambo yao waliyoyasahau pamoja na hili, maana huu ufirauni unazidi kuongezeka kila siku. Amino nawaambia neno la MUNGU siku zote halifanyiwi marekebisho, kwangu Mimi agano la kale ndio haswaa nalikubali.
 
Back
Top Bottom