Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Ww acha kukariri Ukristo ulikuwepo Africa hata kabla ya Africanos jemedari wa kirumi hajapigana na Ethiopia Last millennium kama ulikua hujui ndiyo jina Africa ndipo lilipopatikana.Nenda Ethiopia kuna makanisa yanazaidi ya miaka 600 na kuendelea hivyo hivyo na Elitrea wazungu Africa wameanza kuja miaka ya 1600's na 1700's kabla yao wa fanya biashara wa Asia na waarabu.Kwani ukiristo ni nini, si kufuata mafundisho ya Yesu Kristo?
Wao ndio wametuletea ukiristo, tunapaswa kukubali maana kama walichomekea kuhusu mke mmoja sasa kwa nini wasije na wanaume kuoana. Kipindi wanaleta dini walijua sio rahisi kuwashawishi waafrika wakubaliane na ndoa zaa mashoga ila kwanza tuwachomekee mke mmoja, tumeingia kingi sasa wanakamilisha mkakati wao.