Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Wana laana na sio wakristo ni mashetani Mungu awalaani na kizazi chote Amina.
Kwani ukiristo ni nini, si kufuata mafundisho ya Yesu Kristo?

Wao ndio wametuletea ukiristo, tunapaswa kukubali maana kama walichomekea kuhusu mke mmoja sasa kwa nini wasije na wanaume kuoana. Kipindi wanaleta dini walijua sio rahisi kuwashawishi waafrika wakubaliane na ndoa zaa mashoga ila kwanza tuwachomekee mke mmoja, tumeingia kingi sasa wanakamilisha mkakati wao.
 
Naungana na wewe mkuu moja kwa moja kanisa katoliki haliwezi kuruhusu ujinga na uovu huu hizo ni propaganda za mitandao
Wafia dini hua hamtaki kukubali ujinga wa dini zenu. Aliesema ni kiongozi mkubwa tu wa kanisa katoliki, mteule wa papa.
 
Yanaonekana tu mapunga ...watu kama hawa wangezaliwa utawala wa waajemi ***** ...
 
Aliyasema hayo kwa niaba ya kanisa katoliki? hiyo ni mihemko yake tu, hata wewe unaweza kusema hayo hakuna shida
Waziri hawezi kusema jambo nje ya serikali, acha unafiki. Wafia dini haya mambo ya hovyo hovyo yanayofanywa na dini zenu hamtaki kukubaliana nayo. Huo ndio ukweli.
 
Mteule wa papa unamuita askofu uchwara? Na yule anaemfuata papa kwa cheo ambae amekamatwa kwa kulawiti watoto huko Australia ni askofu uchwara?
Aisee hizo nguvu unazotumia kutoa povu hapa ungetumia kusoma biblia ingekusaida sana ndugu
 
Badilisha kichwa cha habari ni askofu,sio Kanisa katoliki,Kanisa lina msemaji wake taratibu zake,na lina mapana yake wale wasio juu ndio huja kama ww.
 
Acha ushankunanku. Uliza vatican kama wana msimamo wa kipuuzi kama huo utapata jibu. Utakuwa unaliwa 0713 tu wewe, maana unashabikia sana
Hahaha, wafi dini mna mambo, wewe ni product ya waliolawitiwa na askofu au padri. Kubali tu kua ulitafunwa na padri wako. Usimtetee padri/askofu aliekutafuna
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Hahaha, wafi dini mna mambo, wewe ni product ya waliolawitiwa na askofu au padri. Kubali tu kua ulitafunwa na padri wako. Usimtetee padri/askofu aliekutafuna
Hilo shetani lililokuingia hutakiwi hata kuongelea mambo ya dini kabisa.
 
Tanzania kuna mapunga wengi kuliko hata ulaya,tatizo la tanzania ni usiri
 
Back
Top Bottom