Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Wana laana na sio wakristo ni mashetani Mungu awalaani na kizazi chote Amina.
Kwani ukiristo ni nini, si kufuata mafundisho ya Yesu Kristo?

Wao ndio wametuletea ukiristo, tunapaswa kukubali maana kama walichomekea kuhusu mke mmoja sasa kwa nini wasije na wanaume kuoana. Kipindi wanaleta dini walijua sio rahisi kuwashawishi waafrika wakubaliane na ndoa zaa mashoga ila kwanza tuwachomekee mke mmoja, tumeingia kingi sasa wanakamilisha mkakati wao.
wewe unafuata maandiko au unafuata kile kisemwacho na watu?
 
View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.

Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.

Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.

Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
Dini ya Ukristo inaelekea pabaya.
 
Naungana na wewe mkuu moja kwa moja kanisa katoliki haliwezi kuruhusu ujinga na uovu huu hizo ni propaganda za mitandao
Endeleeni kujpa moyo tu maana mshakuwa vipofu mpk kwenye mioyo yenu hata mkiona kwa macho yenu
 
Endeleeni kujpa moyo tu maana mshakuwa vipofu mpk kwenye mioyo yenu hata mkiona kwa macho yenu
Wewe Ndio kipofu namba moja unayeshabikia ujinga . msimamo wa kanisa haufanywi na kanisa Mahalia unafanywa na makao makuu ya kanisa kula Vatcan tena lazima kuwe na Mtaguso then kuna kuwa na mjadala kuhusu jambo husika then Kama ikikubalika Congregation of Faith wanapewa jukumu la kuandaa utaratibu wa kutekeleza jambo husika. Kanisa katoliki linaongozwa kwa taratibu na protokali zinazoeleweka sio hivi vikanisa pesa vyenu vinavoibuka kusaka pesa kila mtu anajitaa nabii askofu nk wakati wengine Hata kusoma na kuandika hawajui. Kanisa katoliki halitakaa liruhusu ushoga milele na atakayejaribu atatengwa na kanisa Mara moja
 
Kanisa Katoliki katu halijahalalisha uchafu huo. Aliyesema hayo ni punguwani mmoja to wala hakuwa na msemaji wa kanisa katoliki

Mkuu;
Sisemi kwa kebehi wala ubaya lakini kwa mambo ya kikatoliki yalivyo, naona haka kamchezo ndio zao. Je, umesikia kuwa muweka hazina mkuu pale Vatican Kardinali wa Australia amesimamishwa kazi kuupisha uchunguzi ufanyike kwa sababu alishitakiwa kule kwao kuwa alikuwa anawa-do vijana wadogo wadogo?? We vip??? Soon and very soon watahalalisha tu. Kwetu hapa, si kuna Padre aliyekamatwa hapa darisalama kule Mlimani akifanywa ndani ya gari lake?? Tumrudieni Mungu kwa maombi na toba. Kwetu wanasema; Ukiona mwenzi ananyolewa, weye tia maji
 
hapo unaongelea maisha binafsi ya mapadri, hapa tunaongelea kanisa katoliki
 
Mkuu;
Sisemi kwa kebehi wala ubaya lakini kwa mambo ya kikatoliki yalivyo, naona haka kamchezo ndio zao. Je, umesikia kuwa muweka hazina mkuu pale Vatican Kardinali wa Australia amesimamishwa kazi kuupisha uchunguzi ufanyike kwa sababu alishitakiwa kule kwao kuwa alikuwa anawa-do vijana wadogo wadogo?? We vip??? Soon and very soon watahalalisha tu. Kwetu hapa, si kuna Padre aliyekamatwa hapa darisalama kule Mlimani akifanywa ndani ya gari lake?? Tumrudieni Mungu kwa maombi na toba. Kwetu wanasema; Ukiona mwenzi ananyolewa, weye tia maji
Hapo sasa Ndio uone seriousness ya kanisa!? Kama mtu ametuhumiwa na kanisa likamsimamisha ili kupisha uchunguzi what else did you expect? Kuna Wana JF makini na makinikia wewe ni the late
Wewe ni ww imani yenyew umeletewa
 
Back
Top Bottom