Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

Mungu akusamehe na hasira ya Bwana isiwake juu yako Bwana aghairi kukupatiliza maana yeye hupatiliza wana hata kizazi cha tatu na cha nne
Ulishawahi kufikiria kuhusu yale makosa zaidi ya 95 yaliyoko katoliki ambayo ni kinyume na Biblia aliyoyabaini mwanamatengenezo Martin Luther?

Ibada za sanamu zinazoendelea kanisani hauzioni?

Wewe ni mkatoliki kwa sababu tu umewakuta wazazi wako ni wakatoliki-sii zaidi ya hapo! Cha ajabu umeridhika kupelekwa shimoni kimyakimya.

Stuka!
 
Hujui kwa nini Luther aliondoka kanisa katoliki kuna thread ilichambua vizuri sana tukio hilo itafute uisome
 
Hujui kwa nini Luther aliondoka kanisa katoliki kuna thread ilichambua vizuri sana tukio hilo itafute uisome
Stuka ndugu yangu na uchukue hatua. Bwana Yesu alileta WOKOVU duniani, sio dini.

Utakuwa unakosea sana ukidhani u-Kristo ni dini.
 
Stuka ndugu yangu na uchukue hatua. Bwana Yesu alileta WOKOVU duniani, sio dini.

Utakuwa unakosea sana ukidhani u-Kristo ni dini.
Wewe ni petro manake mwamba na juu ya mwamba huu nitajenga kanisa langu ambalo kamwe milango ya kuzimu haitalishinda unasemaje Yesu hakuleta kanisa? Petro amejenga ile St Peter's Basilica ya Roma
 
Wewe bila Shaka ni wale wale wa jinsi moja

Sijakuuliza una jinsi ngapi. Kumbe wewe una jinsi mbili ndiyo hao wanaosemwa wamebarikiwa ukatolikini.

Swali langu ni hili. Katoliki ni kanisa na imani gani? Wewe jibu swali. Hujui jibu, sepa!
 
Mbona chip ya 666 I mean za kutumia tayari, una nikiwa kiganjani na ukiendelea hospitali, wakikuscan tu information zako zote zinatoka. Bank na du kanisa ina link wakikuscan tu mlipoandikishiana yanatoka kwenye account yako.
 
Ulishawahi kufikiria kuhusu yale makosa zaidi ya 95 yaliyoko katoliki ambayo ni kinyume na Biblia aliyoyabaini mwanamatengenezo Martin Luther?

Ibada za sanamu zinazoendelea kanisani hauzioni?

Wewe ni mkatoliki kwa sababu tu umewakuta wazazi wako ni wakatoliki-sii zaidi ya hapo! Cha ajabu umeridhika kupelekwa shimoni kimyakimya.

Stuka!
Mungu akusamehe bure maana
Hujui ulisemalo

Uslolijua n kwamba uislam
N shetan wa moton hyo
Quruan yenu ya shetan

Mnayoiabudu ndu inawauwa
Na mnauwana wenywe kwa wenyewe
 
Wewe ni petro manake mwamba na juu ya mwamba huu nitajenga kanisa langu ambalo kamwe milango ya kuzimu haitalishinda unasemaje Yesu hakuleta kanisa? Petro amejenga ile St Peter's Basilica ya Roma
Ndugu yangu, fanya ufuatiliaji wako wewe kama wewe! Ukitaka kulijua Kanisa la Kristo lilivyoanza, chukua hatua ya kuki study Kitabu cha MATENDO YA MITUME mlango wa kwanza na kuendelea. Kanisa la Kristo lilianza siku ya Pentekoste pale ambapo Roho Mtakatifu alivyoshuka kwa nguvu zote (Mdo 2:1---)

Hii ya kusema St Peters ilioyoko sijui wapi ndiko kudanganywa kwenyewe.

Ukatoliki ni mchanganyiko wa u-Kristo kidogo na upagani mwingi wa dola ya Rumi. Fuatilia historia yake kwa undani utaelewa ninachokwambia.
 
"It also gives gay couples equal rights to adopt children". Kwa nini wa adopt, si wameamua kubadilika kimaumbile tofauti na walivyoumbwa, wazae sasa !!
 
Mi naona wamechelewa sana halalisha kwani Makasisi wao wamekuwa wakiendekeza hivyo vitendo kwa kuwaingilia watoto
Na wao ndio hawataki oa ili walane vizuri
 
"As Malta's first children's book about gay love is published, Prime Minister Muscat knows the tide is changing - and he is taking some of the credit". Hapana aisee wanaanza kufundisha watoto mashuleni kabisaa !! Hii haikubaliki, inabidi kila mkatoliki apaze sauti kulipinga hili, ikiwezekana kuandaa maandamano kabisa kulipinga na kulitenga kanisa Katoliki la Malta
 
Mi naona wamechelewa sana halalisha kwani Makasisi wao wamekuwa wakiendekeza hivyo vitendo kwa kuwaingilia watoto
Na wao ndio hawataki oa ili walane vizuri

Sana tu unakuwa bize kuwa service wake zako huna time ya kudukuliwa ndukum yako!
Mbona nackia kwenye nchi wanazooa wake wengi ndo wanapenda sana mchezo wa kudukua wanaume wenzao?
 
MLETA POST NADHANI UNA NIA OVU DHIDI YA KANISA KATOLIKI. NA WATANZANIA TUSIVYOPENDA KUSOMA BASI TUNAAMINI KILICHOLETWA NA MTOA MADA. PENGINE MTOA MADA LUGHA YA KIINGEREZA INAMSUMBUA AU UELEWA WAKE WA KUSOMA JAMBO NA KULIELEWA UNA MASHAKA. LAKINI PIA INAWEZEKANA HATA MLETA POST HAKUSOMA IYO TAARIFA VIZURI. HAKUNA MAHALI ILIPOELEZA KUWA KANISA LIMERIDHIA USHOGA KWA NAMNA YOYOTE ILE NA UKISOMA TAARIFA ILIYOKO KATIKA HIYO LINK INAELEZA KABISA NAMNA ASKOFU ALIVYOELEZA KUWA KANISA HALIWEZI KUBADILISHA KUSUDI LA MUNGU LA NDOA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME. TAFADHALI MUISOME HIYO LINK MWANZO MWISHO ILI KUJIRIDHISHA NA TUSIWE WATU WA KUHUKUMU NA KUTOA COMMENTS KIRAHISI BILA KUSOMA. NDO MAANA HATA SHERIA YA MITANDAO ITAAMBAA NA WENGI.

KITU NIMEJIFUNZA WATANZANIA TUNA TABIA YA KU JUDGE MAMBO BILA KUSOMA NA KUJIRIDHISHA KAMA LINALOSEMWA NI KWELI AU LAA!!!!
 
View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.

Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.

Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.

Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
Aisee umetafsiri vzr kweli?
 
Back
Top Bottom