Kweli kabisa. And time will tell! Hata kama ni miaka 100 ijayo, ushoga, ukahaba na bangi vitahalalishwa na watu wataona kawaida.TZ ikafunuliwa yote kila kitendekacho kikaonekana na watu wote; huko zilikohalalisha zitaonekana mtoto.
Kanisa katoliki halijawahi kuongozwa tokea MaltaView attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.
Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.
Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
wewe ingekuwa sio mjinga ungekuwa mkamuliwa ngama mtarajiwaKushabikia ujinga na kujitoa ufahamu.
Ni msiba mkubwa kwani wanapinga ujinga unaoendelea kesi zinakuja kila siku na waliolawitiwa makanisani miaka ya sabini wanajitokeza Leo halafu waanapinga na proof zipo
subiri siku kiguzo, mshika kata, na mkamuaji watakavyo kushughulikia mpaka maiti inalia kama mbewa kanasa mtegoni mvi, mvi, mvi,...Ujinga na ushoga ni miratul rasul..Usijitoe ufahamu kesi zinaendelea na wamejitokeza wazee waliopandwa miaka tena ndani ya kanisa
Siwezi bishana na mjinga na shoga kama wewe maana unafurahia ujinga huo badala ya kukemea shame on you puff
I won't argue with you dick lover
hata hilo hujui
dogo wewe mzima kweli?¿Wanawake wapi baasi tu laaana yaoKwani huko hakuna wanawake ?
Usiniite dogo we changu I am old enough to walk naked with your mumUjinga na ushoga ni miratul rasul..hata hilo hujui
![]()
![]()
![]()
dogo wewe mzima kweli?¿
Dalili za ule mwisho mkuu! Ila zitaangamizwa zile nchi zenye madhambi ya kutisha kama hizi
Tanzania itanusurika
Kanisa Katoliki katu halijahalalisha uchafu huo. Aliyesema hayo ni punguwani mmoja to wala hakuwa na msemaji wa kanisa katoliki
Mtoa mada inaelekea lugha imekupita kushoto. Kichwa cha habari kimesema Cathilic Malta na si Catholic Church of Malta. Heading hiyo inamaanisha Malta ambayo inaonekana ni ya Kikatolic zaidi imeukubali ushoga na si Kweli kwamba kanisa ndilo limeukubali ushoga na hata ukisoma ndani hakuna penye kuobesha kwamba kanisa limeukubali ushoga.View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.
Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.
Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
Wewe hujaelewa hiyo habari. Catholic Malta haimaanishi kanisa katoliki la Malta bali ni nchi ambayo ukatoliki ndiyo dini kuu. Waliopitisha ni Serikali na si KanisaWaziri hawezi kusema jambo nje ya serikali, acha unafiki. Wafia dini haya mambo ya hovyo hovyo yanayofanywa na dini zenu hamtaki kukubaliana nayo. Huo ndio ukweli.
Ni imani ya Kristo Yesu.Sijakuuliza una jinsi ngapi. Kumbe wewe una jinsi mbili ndiyo hao wanaosemwa wamebarikiwa ukatolikini.
Swali langu ni hili. Katoliki ni kanisa na imani gani? Wewe jibu swali. Hujui jibu, sepa!
Kitambulisho cha nini ili iwe nini?¿ Kanisa Katoliki kama limeruhusu kihivyo, Tungesomewa Barua ya Pope Makanisani dunia nzimaKanisa Katoliki lina TBS na viwango Vinazingatiwa..
![]()
![]()
Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
Mkuu mgeni heshima kwako.Naona unatoa daawa na inaeleweka..Nikushukuru tu kwa kunivunja mbavu zangu.Kama hujui Hekima kanifundisha Heri dogo mwenye Hekima kuliko mzee mpumbavu..kumbe wee mzee asanteee..habari ndio hiyoUsiniite dogo we changu I am old enough to walk naked with your mum