TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 501
- 525
Mkuu ni Rahisi sana kuelewa,kwamfano ndugu yako au mwanao wa Kuzaliwa akiwa shoga utamfukuza,utamuua au Utamtenga??Kitu usichokubaliana nacho unakiungaje mkono. Kama haukko kinyume na ushoga maana yake uko pamoja na ushoga na unaukubali na unaunva mkono ushoga.
Mimi sina dini ila hapo kabla nimewahi kua mkiristo.
1 Wakorintho 5:13 inasema mungu atawahukumu walio nje(ya kanisa, wasio waumini) lakini nyie fukuzeni watenda dhambi walio ndani ya kanisa. Sasa kama hayo ndio mafundisho ya kanisa na mnaamini hivyo bado mnakaribisha ushoga maana yake nini?
Au 1 Wakorintho6: 9-11 huijui inayosema wafilaji(mapadri, askofu na wachungaji) na wafilwaji(kama wewe) hawataurithi ufalme wa mbinguni.
Ndio maana sisi watu wengine tuliamua kuachana na mambo ya dini maana ni uongo mtupu.
Jibu kama jibu ni Hapana,ila utamsaidie aweze kipona tena kwa upendo mpaka apone,alafu nikwambie kitu hakuna kanisa kubwa ambalo halina mashoga kama hawajitambulisha basi wapo kwa siri
Cha msingi kwa sis waafrica ni kuungana vema kwenye malezi ya watoto wetu baasi
ili tujue kwamba hao ni wauminj was Yesu...