wakatoliki kweli wanapenda sana ushogaWakatoliki huu mchezo wanaupenda sana Sijui Kwanini.
wakatoliki kweli wanapenda sana ushogaWakatoliki huu mchezo wanaupenda sana Sijui Kwanini.
Dhibitisha acha ushabiki usiokuwa na tija mkuu, kanisa haliwezi kukubaliana na huo ujinga never,,Wafia dini hua hamtaki kukubali ujinga wa dini zenu. Aliesema ni kiongozi mkubwa tu wa kanisa katoliki, mteule wa papa.
Shida kubwa tuliyo nayo watanzania ni kuamini vi post uchwara.Dhibitisha acha ushabiki usiokuwa na tija mkuu, kanisa haliwezi kukubaliana na huo ujinga never,,
The suppression of the cherished terms 'husband and wife', 'mother and father' in Maltese law is lamentableView attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.
Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.
Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News
wee kama unataka kuolewa kaolewe..Wafia dini hua hamtaki kukubali ujinga wa dini zenu. Aliesema ni kiongozi mkubwa tu wa kanisa katoliki, mteule wa papa.
hilo Kanisa Katoliki lisikiege hivyo hivyo
Mfumo wa Kanisa huujui unakimbilia kuleta ujinga humu 
Sio jambo la ajabu kwa catholic maana wao wanaishi kwa 'mapokeo' na 'matamko' ambayo hayapatikani kwenye biblia kwahiyo siku si nyingi na miaka sio mingi mtasikia kuna 'sala' kabisa ya kukubali huu ujinga maana hawakawii
Wapo lkn sio watamu mkuu...Kama kalio la kiume.....Kwani huko hakuna wanawake ?
Inauma eeeehhh. Nyambafff.wee kama unataka kuolewa kaolewe..hilo Kanisa Katoliki lisikiege hivyo hivyo
Mfumo wa Kanisa huujui unakimbilia kuleta ujinga humu
![]()
Inauma eeeehhh. Nyambafff.
umejipandisha darja la ukafiri hadi unamuona allah aliesema kwa kinywa cha baba kassim
kachukue udhu dogo kofia kama umevalisha juu ya &%$# 
Acha kujilamba lamba,huyo kadinali wenu anaposema hawako kinyume au kupinga ushoga tuelewaje.Statement hiyo inauma na kupuliza.Upande mmja unaunga mkono mashoga upande wa pili unasema hauwezi kuhalalisha ziwe ndoa eti mungu aliweka ndoa kwa mke na mume.Nini msimamo hapoMalta Archbishop Charles Scicluna told a church community recently: "We are not against gays... But we do not need to change the way in which God created marriage to enable us to say that two men or two women can get married.
Nimegundua watanzania kitakachotuua hatukijui mtu kama unachuki bnafsi na kanisa katoriki bora ukaseme au shida ni nini yaani siwaelewi watanzania au ni vile kingereza hakieleweki kwa watu wengi mpaka mtoa uzi anakurupuka. Kinachonisikitisha ni namna watu wengi wanavyochangia wakikashifu na kutoa maneno makali namna hii bila hata kusoma na kujiridhisha juu ya hicho kinachosomwa.
Kwa kifupi wakatoriki hasa viongozi wa Kanisa ni wasomi wakubwa na ukitaka kuelewa speech zao lazima usome between lines kwa kjzazi cha Leo cha watanzania ni ngumu sana kuelewa ndio maana mtaendelea kutoa mapovu na mwisho wa siku kanisa liko imara kama chuma cha mjapani na linaendelea kujipambanua ktk maendelea yake ya kimwili na kiroho. Kwa mtu makini ambaye ameingia na kusoma kilichoandikwa kwenye hiyo line awezi kuja hapa na kukurupuka kuchangia namna hii ninavyoona labda wale wanaopambana na ukatoriki bila kujua historia ya kanisa. Nimepata wasiwasi mkubwa na watanzania.
Poleni sana
Acheni kujikosha nyie na Anglican mnadhalilosha sana ukristo..kama ishu ni hukumu mbona huwa mnatenga watu kwa kudai ni wazinzi mfano kama mumeoana bila ndoa ya kanisani.Kipi bora ushoga mnaochekelea au hao mke na mume? No matter mnalawiti watoto sijui mnajifikiliaje nyieKilicho Muongelea Askofu huyo ni hii part,Jilinganishe kama umetoa ujumbe wa kweli,
Malta Archbishop Charles Scicluna told a church community recently: "We are not against gays... But we do not need to change the way in which God created marriage to enable us to say that two men or two women can get married."
Kwa kuswahili Ungetafsiri hivi,
"Hatuwapingi Gays,...Lakini hatutaki kubadili namna Mungu aliunda mfumo wa Ndoa (Mke na Mme) ili tuseme waume au wake wawili waoane"
Hapo inawaana kuwa hawawatengi mashoga ila hawaruhusu ndoa ya namna hio,na hii ni kwa sababu Kanisa sio Mungu kutoa hukumu na kuwafuza kanisani,
Siku zote huwa nawambia ukikataa kichwa kuingiza ufaham zaidi utaishia kudanganywa na walimu wenu
Acha kujilamba lamba,huyo kadinali wenu anaposema hawako kinyume au kupinga ushoga tuelewaje.Statement hiyo inauma na kupuliza.Upande mmja unaunga mkono mashoga upande wa pili unasema hauwezi kuhalalisha ziwe ndoa eti mungu aliweka ndoa kwa mke na mume.Nini msimamo hapo
hata kama kardinali kasema hayo, yeye Nani? Kitu usicho kijua ni
huyo ni murtadi utamnusuru tu kama Utatuweka Ushahidi Yesu alipo Fundisha uchafu huo kama Muhammad alivyo Fundisha

Kwani biblia itumikayo si ndio ile ile au?View attachment 534345
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa halipingani na ushoga na halina nia ya kupingana na ushoga kama watu wengi walivyodhani.
Nchi hiyo pia imetunga sheria za kuruhusu ndoa za jinsia moja kama ilivyo kwa nchi nyingi za ulaya.
Unaweza kusoma hapa.
BBC News | Catholic Malta embraces gay marriage - Catholic Malta embraces gay marriage - BBC News