zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,460
- 27,494
hahahahaah inawezekana ikawa ivo ni suala la mda tu hadi j3Labda ungesema upewe tittle ya next thread baada ya kuonana na huyo bidada, napendekeza hii" jamani yaliyonikuta mwenzenu najuta".
hahahahaah inawezekana ikawa ivo ni suala la mda tu hadi j3Labda ungesema upewe tittle ya next thread baada ya kuonana na huyo bidada, napendekeza hii" jamani yaliyonikuta mwenzenu najuta".
Mwambie mkutane kituo cha polisi.
Mkuu hako ka dude ni kadogo lakin usiombe ukawa chini ya ulinzi wa hako
Demu wa mtu ni sumu
Sasa hata kama unayo ndio ulete dharau kwa watu ?? Hana lolote mtoto wa mama tu....I bet hata akikushika unagegeda dem wake hawez kukufanya nayo chochote...ataishia kupiga juu tu. I kno these types of people. Akiwaza timbwili la gereza la ukonga atabaki analia tu.
First Born aspofanya ivo labda aende na mabomu ya machozi mfukoni ili kikinuka sehemu ya tukio ayapige na kusepa. Trust no body
kulainisha joint ili kupunguza msuguano kwenye vyuma ...wakati mashine inapofanya kazi ya kupakuwa tope...huko msalani....Ila kama una eksipiriensi..sio lazima kubeba...Mbona mnang'ang'ania niende na kilainishi, kwan naenda kulainisha nini