Huyo atakuwa kanimaindi mwnyw....mi nna sound ni balaa nikiamua kukupiga sound hata ungekuwa mtawa hauchomoi
Tatizo wa humu nashindwa kuwaelewa inawezekana wengi wao wamewahiwa
Ni vitani sasa, tunavyoendelea atakuja mwingine hapa kusema niende kifaru kabisa
Jaman hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.
Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.
Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.
Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.
Nenda na upumzike kwa amani amina.
Wadau.....sasa ndo naelekea kunako eneo la ahadi, niwaombe tu muwe watulivu maana amin nawaambia hakuna baya litakalo nifika huko, lakin pia msifikiri nitakwenda kizembekizembe.
Nakwenda nikiwa niko full kweli kweli, na nitakuja kuwapa mrejesho wa kitakachojiri huko.....narudia tena kuweni na amani kabisa kamanda sintovurugikiwa kitu, na nitatumia mbinu kali sana kutoka sayari nyingine kabisa za kujihami pindi nikiona hakuna dalili nzuri, na sintakuwa na mchezo kabisa na mtu yeyote atakaeonekana kutaka kunizoweazowea.......kwa hiyo iweni na amani mioyoni, nalog off kwa muda.
Lazima nilete mrejesho humu