Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Mkuu mimi naogopa kusema nenda but hata hivyo una kila sababu ya kwenda kuona ni nini unachoitiwa ila tahadhari ukirud utupe mrejesho ili tujue kama kulikua na usalama, usiporudisha mrejesho R.I.P (just kidding jamani)
 
Nenda na washikaji wawe wanakushadow,wakione movement sizo,wanakutonya faster,unateleza.
 
mlikutana kwenye daladala alikuwa na jamaa yake, ukalipa nauli ukarudishiwa elfu tano lakini bado ulifanikiwa kupata namba ya simu? halafu kwa bahati uliyonayo siku nyingine tena mkakutana bar ukila yeye yuko na bwanaake ikabidi akutambulishe (sjui nani mgeni nani mwenyeji?!) hapo hapo tena ukabahatika kuchungulia kiunoni/mfukoni kwa jamaa ukaona bastola?!...sounds legit.
 
intelejensia yangu inaniambia....uende na kilainishi maana lolote laweza kutokea.....REST IN PEACE..
 
yyaani wewe unaambiwa ufanye juu chini muonane kesho , wewe unakimbilia kufungua thread humu............

nenda kale mzigo , huyo jamaa ake atakuwa anaikumbatia bastola badala ya kumla vizuri.........

Ili mnishauri wadau
 
mlikutana kwenye daladala alikuwa na jamaa yake, ukalipa nauli ukarudishiwa elfu tano lakini bado ulifanikiwa kupata namba ya simu? Halafu kwa bahati uliyonayo siku nyingine tena mkakutana bar ukila yeye yuko na bwanaake ikabidi akutambulishe (sjui nani mgeni nani mwenyeji?!) hapo hapo tena ukabahatika kuchungulia kiunoni/mfukoni kwa jamaa ukaona bastola?!...sounds legit.

haa haaa utunzi nao kipaji..
 
Nenda...ushaandaliwa fumanizi, na hivyo jamaa ana bastola...Kabang wanakukula, wanakufotoa halafu wanakwambia uwalipe pesa ili wasituwekee picha zako hapa JF....!

Nenda salama baba....! usisahau KY ya akiba....!

wacha acheze muvi aingizie watu pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom