Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

Yan bastola ndio inampa huyo jamaa kiburi ??? Dah Sasa angekua pande zetu huku si ndio angetukana na watu barabarani. Mbna mambo madogo sana hayo. Hajakutana na wabishi tu.

Mkuu hako ka dude ni kadogo lakin usiombe ukawa chini ya ulinzi wa hako
 
Tangu akupe namba wee ndo huwaga unamtafuta au anakutafuta ww,nijbu then ntakushaur ktu cha maana.
 
Jaman hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.

Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.

Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.
We nenda lakini ujue kuwa kuna uwezekano wa wewe kula au kuliwa. Ni 50% by 50%
 
Tangu akupe namba wee ndo huwaga unamtafuta au anakutafuta ww,nijbu then ntakushaur ktu cha maana.

Tangu nimeandika namba zangu kwny simu yake...leo ndo kanipigia yeye
 
Jaman hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.

Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.

Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.

Sasa brother utakuta jamaa yupo humu xo thread kashaisoma then kazi yake kesho ni kukuwinda ww tu.... lol mm sipo utakapo geuzwa coz na Siri ushatoa
 
Kilainishi usisahau mkuu, anything can happen
 
Isije ikawa siredi yako ya mwisho tu hii. Siku hizi unatengenezewa mazingira ya kuvunwa hela. Kumbuka issue ya yule mwanaume alivyobakwa baada ya kushindwa kuwapa hela waliomfumania kwa mtego wa mwanamke anayetumiwa na kundi.
 
Jaman hapa kinachotakiwa
kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.

Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake
hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia
sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja
ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa
akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae
nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu
kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama
mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu
yangu.

Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye
niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo
ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia
isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.

nenda ilaaaa hakikisha mnakutana open place hotelin BIG NOOOO
 
Story inaendelea ........

Sent from my Black phone using JamiiForums
 
Kuna watu wanapenda sn kutembea na wapenzi wa wengine. Ht ingekuwa ni mm dogo naku-shot. Wanawake wamejaa kila mahali we unataka wa wenzako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom