Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

usije maana tumepanga na wife tukupige 0713 afu tukauze hiyo skendo global publishers tupate hela ya kula
 
Jaman hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.

Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.

Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.

Kumbe ndo wewe unayemmendea demu wangu,ka meet nae nimekuwekea tego nikufumue marinda
 
Tutakukumbuka daima milele. Ipo siku moja mbele mimi na wewe tutaonana tena mwenzetu........ Nenda Kamanda ila ule wimbo wa parapanda italia usiusahau
 
wewe nenda usiogope,ila ukifika mlipopanga kukutana kaa kdgo then chukua ata tax au bodaboda sepa ilo eneo hlo muende sehemu nyingine ya kwako wewe.
Lacyoo kabang itausikaa
 
Jaman hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu baaaaaaasi.

Nikirejea nyuma kdg....kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwny daladala then jamaa yake akanirudishia sh elfu 5, baada ya cku kadhaa tukaonana tena akaninunulia na bua moja ya kucndikiza lunch, baadae akanitambulisha tena kwa jamaa yake, jamaa akaniangalia kwa dharau sana hadi nikatamani kumnasa makofi baadae nikagundua kumbe dharau zake ni kwa sababu anamiliki bastola.

Hiyo sio habar niliyokuja nayo leo...hapo nilikuwa najaribu kuwarudisha nyuma ili muelewe ninachotaka kukiuliza kwenu, kama mtakumbuka yule mdafada alinipa simu yake nikaandika namba za simu yangu.

Sasa leo kwny saa 5 hivi asubuhi kanipigia na kuniomba kuwa nifanye niwezavyo lakin nihakikishe kesho tunaonana....... sasa hicho ndo ninachoomba ushauri kwenu wakuu, hivi niende au nisiende maana nahofia isijekuwa naingizwa kwny mtego mbaya.
Nakukumbusha tena.... we una bastola ya maji ... wakati mwenye mali ana bastola ya moto....
 
Just ushaur wa kimafia tu.
Moja kama alipiga simu nenda kama alituma sms usiende.!

Mbili, namna ya kwenda kama kakupigia simu panga location wewe ila kabla ya muda wakukutana tangulia masaa mawili kabla ndani ya location, mtumie text au mpigie Akupe location ambayo yupo... Akifika tu mlikokusudia kabla hajaondoka maeneo ya stendi mfuate palepale chukueni daladala jingine au tax au bajaji nendeni kwingine'

Huo hapo... Ila ukome kutoa ofa kwa wake za watu
 
Acha uoga mkuu kapige nyanya babu, ila kumbuka kubeba mafuta ya nazi na kufanya zoezi la kukata gogo ili rinda lianze kupata exprnc maana lolote laweza tokea, wana jf bdo wanapenda uendelee kubaki na rinda lako zuri na lamoto lisije pata changamoto la kufanyiwa uzinduzi wa toa tope zito lenye harufu murua kwa mtoaji.
 
Huyo ni jamaa yake. Na Si mume wake. Una kila sababu ya kukutana nae. Tafuta sehemu public kuondoa shaka kwako. Kumbuka wewe ndio unapanga. Ila uwe na mzigo wa matumizi. Usifikiri utapata vya bwerere
 
When a woman love,nothing is impocble,amewiwa mwenyewe akakulipe fadhila,kosa ulilofanya n kutohariri baadh ya ambavyo vnalenga uhusika wa moja kwa moja kimazingira,nenda kapige mzigo,umnyonye sna il akukumbuke.

Kumnyonya nini tena mkuu
 
usije maana tumepanga na wife tukupige 0713 afu tukauze hiyo skendo global publishers tupate hela ya kula

Hamuoni kuwa itawakosti nyie wenyewe maana haitakuwa kiurahisi hivyo kufumua linda la shababi kama mimi
 
Just ushaur wa kimafia tu.
Moja kama alipiga simu nenda kama alituma sms usiende.!

Mbili, namna ya kwenda kama kakupigia simu panga location wewe ila kabla ya muda wakukutana tangulia masaa mawili kabla ndani ya location, mtumie text au mpigie Akupe location ambayo yupo... Akifika tu mlikokusudia kabla hajaondoka maeneo ya stendi mfuate palepale chukueni daladala jingine au tax au bajaji nendeni kwingine'

Huo hapo... Ila ukome kutoa ofa kwa wake za watu

Thnx natarajia kuufanyia kazi huo ushauri wako mkuu
 
Acha uoga mkuu kapige nyanya babu, ila kumbuka kubeba mafuta ya nazi na kufanya zoezi la kukata gogo ili rinda lianze kupata exprnc maana lolote laweza tokea, wana jf bdo wanapenda uendelee kubaki na rinda lako zuri na lamoto lisije pata changamoto la kufanyiwa uzinduzi wa toa tope zito lenye harufu murua kwa mtoaji.

Hata jina unalotumia tu ni burdani tosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom