Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa.

Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane naye ndio anipe mzigo.
Ana Mwanaume mwingine na huyo Mwaume ameshamchoka huyo mwanamke, wewe unakula makombo tu, mwezako ameshaichoka
 
Siku ambayo sijui muda wala wakati wa kuonana nae
Mkionana naye bila kutarajia unauchuna kidogo! Unampa hai tu ila usije kuwa na maneno mengi ukampandisha nyege afu umuache!... Utachukiwaa, na hapo ndio itakuwa mwisho wa kuyaona mapaja yake live
 
Ana Ukimwi au unataka ukimstukia kuwa anakuambukiza kusudi umtafute?.ndo hataki hicho
 
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa.

Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane naye ndio anipe mzigo.
Unataka mzigo au unataka namba ya simu?
Ni vzr kujua mahitaji yako....
 
Back
Top Bottom