Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Tafuta series ya Game of Throne, ujifunze kwa Tyrion Lannister.....jamaa ni emoro kwer kwer lkn anawapata hao viumbe.

Jipe moyo chief.
 
Bs tafuta mfupi mwenzio mkuu
 
Inasikitisha sana...

Pole sana.. Utapata wa rika na size yako... Endelea kumuomba Mungu...


Cc: mahondaw
 
Jiamini wewe..unapoteza kwanza sababu kukataliwa mbona kawaida tu na si kila unaemtokea akukatalie sema na wewe jichunguzepo ucje ukawa unakurupuka na kila anaekatiza mbele yako
 
Mkuu kwanza hongera kwa kumkosa mwanamke ambae anafikiria harusi na si ndoa.
Pili kibongobongo wewe sio mfupi sm 163 c'mon. Kutokana na mazingira yetu hapa bongo wewe ni wakawaida ila sio mrefu(average height ya Tanzania according to Wikipedia ni 5'5).
Tatu kama wanajukwaa walivyotangulia kusema wanawake wanapenda mtu ambae atawafaya wafeel secured. Sasa basi tafuta pesa tafuta power ...hivyo vitu vitakufanya uwe reliable
Nne hakuna kitu sexy kama confidence. Jiamini.....hii nayo wanawake wanapenda sana man alie confident.... Huwafanya wafeel secured
Mwisho kabisa wale wanaokupenda jaribu kuwapa chance you never know
NB:kuna Dada mmoja alinizi urefu sana tena sanaaaaaaa ila ashawahi pigana na binti mwingine kisa mie halafu hata hatujadate or whatsoever .....alikua akiniona anapatwa na degedege ....na wapo wengi nliodate nao na ni warefu kuliko mimi na tukaachana kwa sababu za kijamii tofauti na kimo
LOVE YOURSELF AND FEEL CONFIDENT THAT'S HOW TO BE SEXY AND APPEALING
 
Kwa Kweli Hata Mimi .Niliwai kuwatakiwa Na MTU mfupiiiii .Hapana.Yupo vizuri..ana upendo wa dhati..Huruma..yaani vyooote unavyojua.But ufupii.Mpaka Leo Hajui kwa nini nilimkataa Na analaumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…