''Kanidanganya kwa nia nzuri'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

''Kanidanganya kwa nia nzuri''

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pumbatupu, Aug 2, 2011.

 1. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sikuwepo muda flani hapa Jamvini kwa amani ya Bwana naamini wote hatujambo. Sasa wadau wa MMU mimi najaribu kuuliza hivi kuna wakati ni muhimu kusema uongo kwenye Mahusiano?. Nasema hv kwa sbb ni majuzi tu mkewangu kaniambia kuwa mshahara wake umepanda.Mwanzoni nilipomuuliza alikataa. Ananiambia kuwa alinidanganya mwanzoni kwa sbb alitaka kuona ninaweza kufanya nini ili ku'supplement' kipato chetu. Kwa hiyo anadai alinidanganya kwa nia nzuri.Hivi hii inaweza kuwa sawa..'Kudanganya kwa nia nzuri'.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  staili hiyo ya uongo haionyeshi nia nzuri, nia ingekuwa nzuri kama angebainisha ukweli bila kubanwa kwa dodoso.
   
 3. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anadai huu uongo ni wa maendeleo..
   
 4. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Utani na uongo ni vitu viwili tofauti..

  Hakuna uongo mzuri.. uongo utabaki kuwa ni uongo. Kumbuka tatizo sio uongo kama taarifa bali matokeo ya huo uongo..
   
 5. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Innocent misstatement ahh
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  ushasema alikudanganya, hiyo nia sio nzuri. Ingekuwa utani labda tungesema walau kuna kaukweli ka statimenti yake, lakini kwenye uongo?????????????
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Uongo katika mapenzi ni vitu ambavo haviepukiki for tunajifunza about our lovers sometimes thrue lying.... Ila tu huo uongo usiwe ni wa kumuumiza mpenzi wako na wala usiwe ni wa kudumu... in the sense vitu vya kudanganya ni vile ambavo sio msingi saaana katika mahusiano - in other words yaani hata mwenzio hakitambua haiwezi kumuumiza. Naamini ukimpenda saana mpenzi wako hutaki aumie, hivo hutufanya sometimes kumuepusha hayo machungu udanganye walau ili tu awe na hali nzuri emotionally hasa kama unafahamu kua ni dhaifu...

  Tukija katika suala lako... kama mkeo alikudanganya mara ya kwanza na saizi kaamua kukwambia ukweli - ni dhahiri kua alikua hana nia mbaya kama alivo jieleza... Mistake alofanya ni kukuambia kua alikudanganya it is better angekuambia kua sasa ndio umepanda. She seems to be a good wife labda tu anapima kua nguvu ya mumewe inafikia wapi hasa katika challenges.... Na kwa kweli in most cases uki lie kwa mpenzi wako inakua ni kwa nia nzuri - ili mradi huo uongo usizidi kipimo wala sio wa kuumiza.

  Naweza onekana kama nafagilia uongo but trust me kuna situations you can just no tell the truth to your loved ones thou msingi mkubwa wa mahusiano ni Trust. Na ndio maana kama your love ones ana demand ukweli wa kitu ambacho kiko critical na haitajiki udanganye... it is beta kupotezea kuliko kudanganya - hapo unaharibu kila kitu!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  amani ya Bwana yupi hana jina?????????
   
 10. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Adi ni kwel usemayo smtym unalazimika kudanganya ili ju kumpunguzia mwenzio maumivu coz hata mm naamin kama mtu unampenda hutataka aumie.

  Waislam mtume alisema kuna ruhusa tatu za kusema uongo ambazo zimeruhusiwa.
  1. Sikumbuki.

  2. Uongo wa mume kwa mkewe au mke kwa mumewe kwa lengo la kudumisha ndoa

  3. Uongo katk usuluhishi/kupatanisha watu.

  Naomba anaekumbuka namba moja anikumbushe.

  My take.
  Uongo usidi kipimo. na unatakiwa udanganye pale tu inapolazimu tena kwa misingi hiyo iliyoruhusiwa


  Stay blessed ADii
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  Aisha.only the truth can set you free...............hakuna mushkeli au utata kwenye hilo..............................hakuna exceptions..................once a liar ALWAYS a liar..................................kama mtu huwezi kumwamini kwenye mambo hayo unayoyaita ni madogo je makubwa si itakuwa pata mshike tu........Once a winker always a winker...........
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Unfortunately i am pressed with time... will get back to this way back later....
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  We Ruta wewe! Mbona mkali hivo jamani...?
   
 14. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hysee kumbe dini inaruhusu!
  Ila kwa muktadha ulizongumzia wewe na Adi hata mm nimekubali.

  Ila napenda kufahamu hiyo # 1. Labda Adi atuambie kama anaijua.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  But it may render an agreement voidable!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  make my day baby..........................................i will be waiting on your return.............but i won't buy you a return ticket, though................
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ina maana ww hujawahi kusema uongo,na kama kaamua kusema ukweli bila kumlazimisha,huoni kama amebadilika na kagundua alifanya kosa,na angeamua kunyamaza,ww ungejua kama mshahara wake umepanda au vipi? Mi naona sio kosa kubwa kivile, hata ww sometime unaweza ombwa msaada fulani na mkeo unaweza jikuta unamjibu huna pesa wakati kwenye wallet zimejaa
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  kipipi usiwe na khofu............................just visiting................................and just ensuring we are in the same wavelength.....................
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jukwaa la uwongo na kudanganyana....

  mi sina uwongo leo ..so byeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
Loading...