Kaniambia ''Hujui Kuvaa''

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,307
2,000
Nimeamua kuanzisha uhusiano wa kimataifa na kasamsingi kamoja. Tabu kanalalamika sijui kuvaa na mimi nimejitahidi kuvunja kabati lakini wapi. Hivi ndivyo inavyokuwa au?...:pound::angry::A S 20:
 

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
mpaka nitakapojua hujui kuvaa nini ndo ntaweza kuchangia, for the time being :shut-mouth:
 

awuyegani

Senior Member
Oct 8, 2012
147
170
Hebu tueleze wakati anakueleza hayo mlikuwa mmejiandaa kwenda wapi labda? church? disco? Msibani? etc
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,820
1,225
Mshirikishe next time ukinunua nguo au mpe nafasi akushauri kuvaa. Lazma uwe na swaga kama unavavaa kama watoka kijijini lazima utakuwa unampa bonge la sooo kwa rafiki zake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom