Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 843
kitambi cha mbege, coz hata ukivalie nini sijui hutakaa upendeze...hahahaha
kwa mwafrika kitambi na suti mashallah,ama..
kitambi cha mbege, coz hata ukivalie nini sijui hutakaa upendeze...hahahaha
Tupia picha tukujadili. Vinginevyo hakuna thread apa.
kitambi cha mbege, coz hata ukivalie nini sijui hutakaa upendeze...hahahaha
.Kajipange upya! Uje kuomba ushauri ukiwa unauhakika ni ushauri upi unahitaji. Then tutakupa ushauri kama ni wa kuvaa condom au kufuli au suit!:A S 11:
Akininunulia kata K? Mwenyewe nimezizioea kaunda zangu
Na kweli. Bila picha tutajua anamaanisha nini? Suti na raba mtoni, ama unavaa suti za kijani?