Kanga moko ndembe ndembe!

Kanga moko ndembe ndembe!

Tulikuwa tunamngoja muzee ya kuji-express Fidel, aje kutoa somo bana!
Mambo yake haya.
Mbona hukusema toka mwanzo mumemsumbua dada wa watu toka saa nne mpaka kaondoka zake maskini.
 
Nenda nae ukifika pale unamfunga shati kwenye kitenge chako asicholopoke

........ahahaaahahahaaah!!! ndio hivyo asipokuwa makini anaweza akajikuta wakati wa kurudi yupo peke yake bila mumewe..
 
Twawasubiria Vijana Social Club - Moro come Friday..........
 
Orait orait!!
Muzee ya mutandao ya bei nafuu ameshatoa somo sasa.
Vifaa ni kanga moja ya india, maji ya uhai, na chupa ya soda au bia......au nimekosea mkuu fidel?
 
jina lao kamili ni Kanga moka laki si pesa milioni afadhali inye ndembe ndembe hapa Tigo k kwa mkeo.

Mi yule mkata mayenu bonge bonge yule huwa ananitoa sana udenda pale tiGo huuulizi wewe unazama tu.
Vp una namba ya Gea niongee nae.
 
Mi yule mkata mayenu bonge bonge yule huwa ananitoa sana udenda pale tiGo huuulizi wewe unazama tu.
Vp una namba ya Gea niongee nae.
Nilidhani we mjanja arifu Gea wa nini na makamisheni yake muda wa kutoka ukifika we msubirie pale nje unashika mkono na kumuingiza kwenye gari tu.
 
Nilidhani we mjanja arifu Gea wa nini na makamisheni yake muda wa kutoka ukifika we msubirie pale nje unashika mkono na kumuingiza kwenye gari tu.

Kuna siku nilimlia timing nikamkosa wkt wa kutoka sijui huwa wanatokea mlango wa nyuma?
 
Siku omba ruhusa kwa shemeji nikupeleke ukajionee mwenyewe chupa inakaliwa alafu anainuka nayo

Huh! Acha wee...mbona hiyo kali! Anainuka nayo tena! Hapana aisee !(◎_◎😉
 
mwanamke chupa inazama kwenye makalio...halafu mnamtamani du!!!
hahaha! mpenzi sio kwamba inaingia hapana lakini anakatika juu ya chupa sasa unaweza dhani imeingia si inafichika na makalio kidogo ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom