- Feb 10, 2006
- 4,557
- 16,949
Maxence karibu saana... naamini nitakuepo moja ya maeneo ulotaja
and God Willing mambo/shughuli kama zitaruhusu inshallah tutaonana....
Nakuombea wepesi katika safari zako zoote...
Because he is Voice of Reason! Kajaa hekima.Mmoja wa watu nnaotamani kuonana nao na kubadilishana nao mawazo NI WEWE.
Bado namtafuta na mkuu VoiceOfReason... You know why 🙂
Mkuu,Because he is Voice of Reason! Kajaa hekima.
Nitakusubiri!Mkuu,
Nina ziara ya pande hizo (kwako) pia. Na lengo ni hilohilo, baada ya ziara hizi naamini tutakuwa katika ukurasa mwingine.
Nitakufahamisha a month before.
Mmoja wa watu nnaotamani kuonana nao na kubadilishana nao mawazo NI WEWE.
Bado namtafuta na mkuu VoiceOfReason... You know why 🙂
Sorry Maxence Melo, inawezekana mimi nilikuwa passed by events, hivi uliwahi kuonana na wadau wa JF wa Dar, kufahamina na kushauriana kuipeleka kwenye hatua nyingine?, au ndio unaanzia mbali, umalizie karibu?.Wakuu mlio Mwanza, Kagera na Mara, nitakuwa maeneo haya karibuni. Ningependa kuonana na walio tayari ili tubadilishane mawazo na kusikia kutoka kwenu. Baada ya safari hii nitaelekea Mbeya na Ruvuma.
Hii ni kuweza kuonana na wadau wa JF na kubadilishana nao mawazo, kuwasaidia wenye kuhitaji msaada (kiufundi) na zaidi kuweza kufahamiana na kushauriana namna ya kuipeleka JF kwenye hatua nyingine.
Mkuu,Sorry Maxence Melo, inawezekana mimi nilikuwa passed by events, hivi uliwahi kuonana na wadau wa JF wa Dar, kufahamina na kushauriana kuipeleka kwenye hatua nyingine?, au ndio unaanzia mbali, umalizie karibu?.
Safari njema boss! Mimi ni maombi tu juu yako kila utakapoingia Mungu akutangulie siku zamu ikiwa yetu mi nitakukaribisha.Wakuu mlio Mwanza, Kagera na Mara, nitakuwa maeneo haya karibuni. Ningependa kuonana na walio tayari ili tubadilishane mawazo na kusikia kutoka kwenu. Baada ya safari hii nitaelekea Mbeya na Ruvuma.
Hii ni kuweza kuonana na wadau wa JF na kubadilishana nao mawazo, kuwasaidia wenye kuhitaji msaada (kiufundi) na zaidi kuweza kufahamiana na kushauriana namna ya kuipeleka JF kwenye hatua nyingine.
Sawa mkuu wangu, nikianza safari nitaandika hapahapa JF ili watu wafahamu kuwa naelekea pande zao.Mkuu haina mbaya,ninakuomba saanaa tena saana wakati unaenda Ruvuma pitia Iringa basi tuongee bwana.
Shukrani mkuu, tutakutana Mkendo 🙂Karibu sana Mkuu Max,
Umetusikia, Utatufikia.
Alipozaliwa Kambarage Pananihusu. Tunatumikia Wanainji
Nitafurahi kukusalimu.