Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni "Istilahi ya Ngamizi". Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika. Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo. Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye. Heko!!
Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio:
klfmzungu@gmail.com
Asante.