Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

mukama talemwa

Senior Member
Jun 14, 2011
160
28
Ninayo kamusi ya TUKI. Nadhani hata hii itakufaa. Ni English Kiwahili Engilsh. Pm me and i will pass you a copy.
 
Ndugu,

Kanusi mimi ninayo (soft copy) kwenye komputa) ila sijajua namna ya kuiambatanisha, siku nikijua nitakutumia. Je waweza kunielekeza ni-attach
 
Mkuu!

Vipi ulifanikiwa kupata ile Kamusi ya Kiswahili / kingereza?

Kama bado hujapata -nimekutumia link kwenye PM soft copy idownload!

All the best!
 
.

WanaJF!

Habarini wote!

Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.

Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu.

Link yenyewe ni hii hapa (download):


------------------------

NIME-UPDATE LINK - 16-4-2020

https://mega.nz/file/NgdVQKza#lDKMYKoEqNqrGxG8Gd2jSn5TOnOwHcVRU5K71oaUujE
------------------------

N.B: nimei-zip, kwa hiyo uki-download just unzip it, alafu fungua (double click to open) index file .. alafu uitumie.

Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.

All the best!


.
 

Attachments

  • Swahili to English.pdf
    15.2 MB · Views: 165
  • english-swahili.pdf
    3.4 MB · Views: 151
aisee tuwe tunabadilishana mawazo jinsi ya kutumia mtandao kwa namna hiyo, haki ya mungu nimeipenda unaweza kunisaidia ili nami niwe naweka vitu vya msingi nilivyo navyo??????????????????, naomba kuwasilisha
 
ante sana mkuu.nami nimeipata..nazihitaji sana huku nilipo.naomba na mwenye Kiswahili-Kiswahili atusaidie jamani.
Natanguliza shukrani
 
Wanatovuti wapendwa:

Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni "Istilahi ya Ngamizi".

Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika.

Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo.

Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye!

Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: klfmzungu@gmail.com

Asante.
 
Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni "Istilahi ya Ngamizi". Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika. Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo. Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye. Heko!!
Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: klfmzungu@gmail.com
Asante.

Istilahi ya ngamizi...hili jina limenipa hamu ya kuisoma hio kamusi.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom