Kamsemo kapya kameibuka kwenye Sensa

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Eti "UNA MASWALI MENGI KAMA KARANI WA SENSA",hii imetokea kitaani kwetu.Tupe yaliyojiri kitaan kwenu
 
Jamani mbona sisi mpaka muda huu hatujahesabiwa nasi getini kwetu hakuna bandiko la kuwakataza?
Tujuzeni.
 
japo sina mpango wakuhesabiwa hadi sasa cjawaona mtaani kwangu
 
hata huku hakuna cha sensa wala nini au sijui geti kuna mpangaji kaweka tangazo la "sisi waislam hatutaki kuhesabiwa" ngoja nicheki
 
mimi nimehasabiwa asubuhi na mapema kabla hata sijaenda church...
wana maswahi hao...

ooh una punda?...ngamia?...plau?...maksai?...una watoto wa nje?...wangap?...wamekufa wangapi kwa kaya hii mwaka huu...?oh kuna mataahira ktk ukoo wenu...je watu wenye matatizo ya uti wa mgongo....

aaaaarrrrggghhh!..yana lundo la maswali hayana hata LINK...
 
mimi nimehasabiwa asubuhi na mapema kabla hata sijaenda church...
wana maswahi hao...

ooh una punda?...ngamia?...plau?...maksai?...una watoto wa nje?...wangap?...wamekufa wangapi kwa kaya hii mwaka huu...?oh kuna mataahira ktk ukoo wenu...je watu wenye matatizo ya uti wa mgongo....

aaaaarrrrggghhh!..yana lundo la maswali hayana hata CONNECTION...yametawanyika tu.
 
Wamepita kwetu cha ajabu sijawaona na sare maalum kama ilivyotangazwa! Hapo ndo serikali dhaifu inapoonekana!
 
Wangeingiza category ya Noah; una Noah wangapi? majike na madume wako wangapi! Hii ingesaidia sana kujya idadi ya watumiaji pia ili tusiendelee kudanganyana kila ifikapo mwezi wa naniiihiiiii
 
Kama hamjahesabiwa mjue makarani wapo ofisini wanapika data baada ya kuona zoezi halina ushirikiano
 
Zoezi la sensa ni wiki zima 26/8/2012 hadi 2/9/2012.Hivyo kama leo makarani hawa jaja kwenye kaya yako watakuja siku yoyote kati ya hizo.Maswali ni mengi kwa sababu serikali yataka kufahamu watu wake na umiliki wa vifaa na mifugo.Pia yataka fahamu ni vifo gani husababiswa na uzazi.N k.
 
Back
Top Bottom