Spidi ya Makarani wa Sensa ni ya mwendo wa konokono, Ni Graduate kweli?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Hawa Makarani wa Sensa vigezo gani vilitumika kuwapata, Unawezaje kutumia saa moja na nusu kwenye Familia ya watu watatu Baba, Mama na mtoto wa chekechea

Nilimuuliza Karani aliyepita kwangu maswali yafuatayo baada ya kuona amechukua muda mrefu kwa jirani zangu ambao tunaishi kama rafiki na zaidi ya ndugu hivyo tunapeana taarifa muhimu na za msingi zinazotuhusu kuanzia magari ya kukusanya taka, Vikao vya mtaa na malipo ya vijana wa ulinzi shirikishi

Swali number 1
Je mlifanya trial au majaribio ya speed ya kutumia I Pad kabla hamjaenda live Leo?
Karani wa Sensa hakuwa na jibu

Swali number2
Je mlipita kwenye hii mitaa kufanya trial hata kuangalia family zimekaa vipi na mtatumia muda gani wa wastani kila nyumba

Karani wa Sensa hakua na jibu

Swali number 3
Je hizo I Pad mmewekewa bundle au zina GPS kukusaidia kujua location?

Karani wa Sensa alinijibu kuwa IPad zao zina GPS inafanya kazi vizuri

Je hawa ndio Graduate wa sasa toka vyuo vikuu au tusubiri Wengine?

Karani wa Sensa ni muoga, anatetemeka, hana Confidence kabisa,

Moja ya lengo kuu la sisi wazazi kupeleka vijana shule ni kuwajengea uwezo wa kujiamini na kupambana na mazingira yanayobadilika kila wakati

Wananchi wameitikia vizuri zoezi la Sensa ukifananisha na mwaka 2012. Zoezi la mwaka huo 2022 limerudishwa nyuma na Makarani wa Sensa kutokana na spidi yao ya kuuliza na kutumia I Pad

Ni Kheri wale wahazabe walioamua kudai nyama na matunda kabla ya kuhesabiwa, At least wahazabe wao wamekula nyama ya nyati na Punda kabla ya zoezi, Wengine wamemsubiri Karani masaa kibao bila faida
 
Kwa mwendo huu kweli Zoezi lisichelewe?
IMG-20220823-WA0116.jpg
IMG-20220823-WA0103.jpg
IMG-20220823-WA0109.jpg
 
Hawa Makarani wa Sensa vigezo gani vilitumika kuwapata, Unawezaje kutumia saa moja na nusu kwenye Familia ya watu watatu Baba, Mama na mtoto wa chekechea

Nilimuuliza Karani aliyepita kwangu maswali yafuatayo baada ya kuona amechukua muda mrefu kwa jirani zangu ambao tunaishi kama rafiki na zaidi ya ndugu hivyo tunapeana taarifa muhimu na za msingi zinazotuhusu kuanzia magari ya kukusanya taka, Vikao vya mtaa na malipo ya vijana wa ulinzi shirikishi

Swali number 1
Je mlifanya trial au majaribio ya speed ya kutumia I Pad kabla hamjaenda live Leo?
Karani wa Sensa hakuwa na jibu

Swali number2
Je mlipita kwenye hii mitaa kufanya trial hata kuangalia family zimekaa vipi na mtatumia muda gani wa wastani kila nyumba

Karani wa Sensa hakua na jibu

Swali number 3
Je hizo I Pad mmewekewa bundle au zina GPS kukusaidia kujua location?

Karani wa Sensa alinijibu kuwa IPad zao zina GPS inafanya kazi vizuri

Je hawa ndio Graduate wa sasa toka vyuo vikuu au tusubiri Wengine?

Karani wa Sensa ni muoga, anatetemeka, hana Confidence kabisa,

Moja ya lengo kuu la sisi wazazi kupeleka vijana shule ni kuwajengea uwezo wa kujiamini na kupambana na mazingira yanayobadilika kila wakati

Wananchi wameitikia vizuri zoezi la Sensa ukifananisha na mwaka 2012,Zoezi la mwaka huo 2022 limerudishwa nyuma na Makarani wa Sensa kutokana na spidi yao ya kuuliza na kutumia I Pad

Ni Kheri wale wahazabe walioamua kudai nyama na matunda kabla ya kuhesabiwa, At least wahazabe wao wamekula nyama ya nyati na Punda kabla ya zoezi, Wengine wamemsubiri Karani masaa kibao bila faida
Binafsi nimekuelewa mkuu, suala la Education, Education, Education nchi hii ni cancer ambayo kuitibia kutahitajika msukumo mpya, mfano rahisi angalia budget yetu ya wizara ya Elimu ni kubwa mno,but almost 90% inatumika kulipa mishahara na marupurupu mengine sasa hii 10%unategemea ndio iwe invested kwa mwanafunzi na matokeo yake ndio hawa vijana wa dot.com waliojaa mitaani humu, ua elimu ua taifa
 
Kishikwambi hakiluki swali mkuu, lazima ujibu kila swali mengine anajibu mwenyewe bila kuuliza, Sasa maswali mia unategea Nini? Watu kumi maswali 1000, unafikili utaboza ndani ya nusu saa?

Piga hesabu kwa siku atahesabu nyumba ngapi ikiwa nyumba moja anatumia juu ya nusu saa?
 
Hawa Makarani wa Sensa vigezo gani vilitumika kuwapata, Unawezaje kutumia saa moja na nusu kwenye Familia ya watu watatu Baba, Mama na mtoto wa chekechea

Nilimuuliza Karani aliyepita kwangu maswali yafuatayo baada ya kuona amechukua muda mrefu kwa jirani zangu ambao tunaishi kama rafiki na zaidi ya ndugu hivyo tunapeana taarifa muhimu na za msingi zinazotuhusu kuanzia magari ya kukusanya taka, Vikao vya mtaa na malipo ya vijana wa ulinzi shirikishi

Swali number 1
Je mlifanya trial au majaribio ya speed ya kutumia I Pad kabla hamjaenda live Leo?
Karani wa Sensa hakuwa na jibu

Swali number2
Je mlipita kwenye hii mitaa kufanya trial hata kuangalia family zimekaa vipi na mtatumia muda gani wa wastani kila nyumba

Karani wa Sensa hakua na jibu

Swali number 3
Je hizo I Pad mmewekewa bundle au zina GPS kukusaidia kujua location?

Karani wa Sensa alinijibu kuwa IPad zao zina GPS inafanya kazi vizuri

Je hawa ndio Graduate wa sasa toka vyuo vikuu au tusubiri Wengine?

Karani wa Sensa ni muoga, anatetemeka, hana Confidence kabisa,

Moja ya lengo kuu la sisi wazazi kupeleka vijana shule ni kuwajengea uwezo wa kujiamini na kupambana na mazingira yanayobadilika kila wakati

Wananchi wameitikia vizuri zoezi la Sensa ukifananisha na mwaka 2012,Zoezi la mwaka huo 2022 limerudishwa nyuma na Makarani wa Sensa kutokana na spidi yao ya kuuliza na kutumia I Pad

Ni Kheri wale wahazabe walioamua kudai nyama na matunda kabla ya kuhesabiwa, At least wahazabe wao wamekula nyama ya nyati na Punda kabla ya zoezi, Wengine wamemsubiri Karani masaa kibao bila faida
Watzn wengi kuwa committed na kufanya mambo kwa u sharp huwa hawawezi..
 
Na lini nchi yangu itaanza kutumia technology kwenye issue za kitaifa kama hizi za sensa?,watu wengi wana smart phone, wangefanya utaratibu wa kujisajili na kujaza maswali ya sensa na kuwatumia wahusika, kama nchi tumepotea sehemu
 
Sio Kula karani ni graduate, wengine wamewekwa Tu kwa connection mkuu
Hili zoez litaharibika tu
Kuna uwezekana zaidi ya 50% zoezi hili kutokufikia malengo yake. Sababu kubwa ya kutokufanikiwa ni aina ya wadodosaji, aina ya maswali na wingi wa maswali.

Ni mtihani kwa Serikali iliyoko madarakani ikinzingatiwa kiwango cha uhamasishaji kilichofanyika
 
Hawa Makarani wa Sensa vigezo gani vilitumika kuwapata, Unawezaje kutumia saa moja na nusu kwenye Familia ya watu watatu Baba, Mama na mtoto wa chekechea

Nilimuuliza Karani aliyepita kwangu maswali yafuatayo baada ya kuona amechukua muda mrefu kwa jirani zangu ambao tunaishi kama rafiki na zaidi ya ndugu hivyo tunapeana taarifa muhimu na za msingi zinazotuhusu kuanzia magari ya kukusanya taka, Vikao vya mtaa na malipo ya vijana wa ulinzi shirikishi

Swali number 1
Je mlifanya trial au majaribio ya speed ya kutumia I Pad kabla hamjaenda live Leo?
Karani wa Sensa hakuwa na jibu

Swali number2
Je mlipita kwenye hii mitaa kufanya trial hata kuangalia family zimekaa vipi na mtatumia muda gani wa wastani kila nyumba

Karani wa Sensa hakua na jibu

Swali number 3
Je hizo I Pad mmewekewa bundle au zina GPS kukusaidia kujua location?

Karani wa Sensa alinijibu kuwa IPad zao zina GPS inafanya kazi vizuri

Je hawa ndio Graduate wa sasa toka vyuo vikuu au tusubiri Wengine?

Karani wa Sensa ni muoga, anatetemeka, hana Confidence kabisa,

Moja ya lengo kuu la sisi wazazi kupeleka vijana shule ni kuwajengea uwezo wa kujiamini na kupambana na mazingira yanayobadilika kila wakati

Wananchi wameitikia vizuri zoezi la Sensa ukifananisha na mwaka 2012,Zoezi la mwaka huo 2022 limerudishwa nyuma na Makarani wa Sensa kutokana na spidi yao ya kuuliza na kutumia I Pad

Ni Kheri wale wahazabe walioamua kudai nyama na matunda kabla ya kuhesabiwa, At least wahazabe wao wamekula nyama ya nyati na Punda kabla ya zoezi, Wengine wamemsubiri Karani masaa kibao bila faida
Nimekutana na karani namwambia nihesabu anasema kishkwambi kimeisha chaji 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom