Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

200000 serious huu ni udhalilishaji ndugu zangu tena ukifanya hiyo inakupa psychological torture kwasababu nafsi inaumia
 
Kuna siku mchina kanicheki kasema tunatafuta HR ila tutakulipa 23K per day
Nikamuuliza iyo ni meal au salary?
Akanijibu kuwa ni salary nikamuuliza ivi umeangalia wapi nafanya kazi na experience yangu
kalala mbele
hawa jamaa wajinga sana aiseee
23k per day n hela kubwa sana katika nchi yetu kada ha ualim kwa level ya bachelor wana range humo per day
 
Negotiations skills zako ziko Chini saana,
Anapokuambia willing salary ni 200,000 wewe ungepmba 300,000 na very possible angekupa
Then hapo kwenye 1% ungepmba 2% yeye angekupa 1.25% plus
Lastly ungeomba transport na meal allowance, si ajabu angekupa 2000-4000 per day.
Kwa kifupi hii kazi ulitakiwa uanze na salary ya laki 6, sema wewe umezembea kunegotiate.
 
Mambo siyo marahisi kama unavyodhani mkuu,
kiufupi namwelewa mleta mada,ku-deal na wachina it's not a joke.
 
Jaman mbona mnamshambulia mchina?
Mbona katika kada ya UALIM mfano shule za msingi hizo ndo salary wanalipa

Kwahiyo sioni cha ajabu
Nahisi hawajaelwana vizuri .. kasema transport na other allowance atapewa it means basic hapo lazima itakua ni laki Tatu bila kukosea then laki2 ni take home ...mi nimefanya kazi ya namna hiyo ..unapewa 20k kila week na kila mwanzo MWa mwez unapewa 20k ya bundle ..kwahy ,unaweza kufk mwisho MWa mwez bado una elfu balance ya elfu 10 then unapewa laki2 ..I think sio haba kwa mtaftaj
 
Kwa mchina ndo imeisha hyo,Basic utaikuta mbinguni.
 
Wachina hawanaga diplomacy,ni wabaguzi mno.Sera yao ni take it or leave it,na ukitaka negotiation wanakufukuza hapo hapo at the middle of the interview.Ni aina ya waajiri wanaochapa staff wao viboko wakikosea mpaka leo 🤣 🤣

Hajawahi kufanya kazi na wachina huyo!! Kwa tuliobahatika kufanya kazi na hao watu tunajua walivyo kwenye swala la hela!
......
 
Wachina hawanaga diplomacy,ni wabaguzi mno.Sera yao ni take it or leave it,na ukitaka negotiation wanakufukuza hapo hapo at the middle of the interview.Ni aina ya waajiri wanaochapa staff wao viboko wakikosea mpaka leo 🤣 🤣
Just understand, you have nothing to lose by asking.
Kila boss, anapenda mfanyakazi ambaye anajielewa, anaweza jisimamia mwenyewe na ni innovative. Hivi vyote vinaanza kunegotiate kazi na boss wako, kabla hujanegotiate na mteja kwa niaba ya boss.

Believe, me just ask, no harm in it, if they so no, you either find another job, or do it to sustain while looking for another job.
 
Dadeq utaenda home na 50k ya karanga hao mbegu fupi na wahindi washenzi sana nimekumbuka movie ya juzi inaitwa 7 prisoners ni ya mwaka 2021 mpya watu wanapigishwa kazi hmna malipo wala nn ni kula na kulala
Sio wafupi, wapo warefu tena kuzidi hata wewe.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom