Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny.
Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo.
Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game.
Kipindi chote waliwezaje kumudu leo wanadai playstation 5 inatengezwa kwa bei ndogo na kuuzwa bei kubwa.