king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,629
- 2,043
Sidhani kama TTCL ni y akufa leo wala kesho............TTCL inaservice nyingi za corporate na hazitangazwi kama izo za ONGEA BURE SA 4 HADI12 ASUBUHI....wateja wa corporate wanajua wapi pa kupata huduma izo........na even hao Voda sjui airtel wanaitegemea sana TTCL kuwa hapo walipo...........sipo kwenye industry hiyo but nafahamu...TTCL naiheshimu sana.
TTCL kweli ina mtandao mrefu siku hizi wanajihusisha na data zaidi. Bado wanarun kwa faida kwani hili dili la mkongo wa taifa litawapa mkwanja wa maana. Na vile vile internet ya ttcl ina kasi na nireliable kuliko others. Tatizo la bundle zao hazihitaji pesa za madafu. MFANO BANDLE YA BANJUKA NI 1000 KWA SAA MCHANA. Lakini kuna bundle nyingine kama ile ya 8gb kwa msimbazi for a week.